Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao.
Yaani ni hivi bila ya kuwa na mamlaka ya kuwateua na kuwapa ulaji wangekuwa anamchukulia kama Mwenyekiti w TLP au TADEA.
Ndio maana utaona wanajichanganya na sifa kedekede za uongo na kweli kumsifia mwenyekiti wao hata kwa vitu ambavyo hajafanya.
Wakati mwingine ni sababu ya woga kwa kuwa wengi wao wana tuhuma za hapa na pale za ubadhirifu wa mali n.k.
Ukitazama hulka za kinidhamu na utumishi uliotukuka wa kujituma na commitment bila kujali maslahi utaona Wanachama wa ACT na Chadema wamejaliwa.
Wanaweza kutumikia taifa bila kutarajia uteuzi wala fadhila yoyote kwao uzalendo kwanza.