Kwa huu mfumuko wa bei ya bidhaa karibu zote nchini Serikali inapaswa kujiuzulu haraka sana

wazagamba nkoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
389
Reaction score
998
Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu.

Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na mfumuko wa bei kiwango cha sasa.

Inaonekana Serikali tayari mikononi mwa walanguzi
 
Tuna jenga uchumi wa nchi wapinzani mnapinga kila kitu mpaka ongezeko la bei mbona sisi kijani hatulalamiki kutwa nzima nyie tu Mama chapa kazi wazalendo tupo nyuma yako"Lumumba voice

Maendeleo hayana chama ndugu zangu na mfumuko wa bei hauna chama.
 
Mama anaupiga mwingi, sukuma gang ndio waathirika wa mfumuko sie Msoga Camp tunainjoy bei zikipanda 😅!

Mama pandisha zaidi bado sana hadi litre ya mafuta wanunue 15,000/=! Pandisha kila kitu tumkomeshe Mwendazake
 
Sisiyemu awa nao wafahamu mimi wajiuzulu. Wako radhi ata watutoe roho watanzania ili waendelee kusalia madarakani kwa miaka mingine ya shida na mateso.

Au nasema uwongo ndugu. Aya mwingine
 
Huku kijijini tunaambiwa mama anaupiga mwingi kudadeki
 
Duh! Na kazi iendelee.
 
Ni kitu gani kimechangia mfumuko wa bei. Ni Mzunguko wa pesa umeongezeka au bei ya mafuta?
 
Mama anaupiga mwingi, sukuma gang ndio waathirika wa mfumuko sie Msoga Camp tunainjoy bei zikipanda 😅!

Mama pandisha zaidi bado sana hadi litre ya mafuta wanunue 15,000/=! Pandisha kila kitu tumkomeshe Mwendazake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ya Joyce Banda naona yakitokea kwa Hangaya.
 
Mafisadi wamerudi kwa ari, kasi na nguvu mpya chini ya mzee wa msonga
 
Mama anaupiga mwingi, sukuma gang ndio waathirika wa mfumuko sie Msoga Camp tunainjoy bei zikipanda 😅!

Mama pandisha zaidi bado sana hadi litre ya mafuta wanunue 15,000/=! Pandisha kila kitu tumkomeshe Mwendazake
Kama upo vizuri kiuchumi usiwaumiZe wenzio kumbuka kuna leo na kesho hujui kesho yako. Mungu akisema nyuma geuka ndo utajua nini namaanisha.
 
We utakuwa mwanaccm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…