Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mpira kama wanalima shamba lla mpunga!!Hovyo sana.! Kwa mpira huu wa Robertinho kushinda hii mechi ni ndoto.! Wachezaji wenyewe wanacheza kifaza sana Pumbavu zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira kama wanalima shamba lla mpunga!!Hovyo sana.! Kwa mpira huu wa Robertinho kushinda hii mechi ni ndoto.! Wachezaji wenyewe wanacheza kifaza sana Pumbavu zao
Ndio timu yako yenye pumzi hiyo.Sijui mazoezini huwa wanafanya nini hawa
Kabisa mkuu Golikipa sio mweusi yule ni mweupe peee, bila shaka ni mwarabu yule. Si anaonekana kabisa rangi yake?sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....
Kwa level ilipofika Simba nilitegemea icheze mpira wa level flan ila nachoona hapa first half ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ukubwa wa team huonekana hata na mpira unaocheza ni WA kikubwa ila sio Simba wanachokicheza ....... sijui kama viongozi waliangalia falsafa ya Simba na kocha walomleta....
Halafu golie ivi kinachombeba ni rangi ama sijawahi cheza mpira maana vitu vipo wazi golie mweupe sana huyu mara mia Ally ........
SOKA PAPATU PAPATUPira la hovyo kabisa, tukiongea wanasimba wenzetu wanatuambia sisi si mashabiki wa kweli.🤣😂
Viongozi ndio tatizo.sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....
Kwa level ilipofika Simba nilitegemea icheze mpira wa level flan ila nachoona hapa first half ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ukubwa wa team huonekana hata na mpira unaocheza ni WA kikubwa ila sio Simba wanachokicheza ....... sijui kama viongozi waliangalia falsafa ya Simba na kocha walomleta....
Halafu golie ivi kinachombeba ni rangi ama sijawahi cheza mpira maana vitu vipo wazi golie mweupe sana huyu mara mia Ally ........
Umesema kweli tupuTunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Dk 90 zote moyo mkononiSOKA PAPATU PAPATU
Nimetoka kucheki mechi baadhi ya mashabiki hawana imani na timu yaoDk 90 zote moyo mkononi
Mie ni mmoja wapo, japo hili nimeanza kuliona siku nyingi, nikisema naonekana silipendi chama langu.Nimetoka kucheki mechi baadhi ya mashabiki hawana imani na timu yao
Mtoa mada anajiita chama konokono, halafu useme ni simbaBora hata nyinyi wenyewe ni mashahidi. Aisee huu mpira hauvutii. Ni kubutua butua tu.
Tatizo Robertinho au ?Pira la hovyo kabisa, tukiongea wanasimba wenzetu wanatuambia sisi si mashabiki wa kweli.🤣😂
Maamuzi magumu yanahitajika mkuuMie ni mmoja wapo, japo hili nimeanza kuliona siku nyingi, nikisema naonekana silipendi chama langu.
Mkuu!Viongozi ndio tatizo.
Tungechagua viongozi vijana.Hawa wazee maamuzi yao ya hovyo sana.Kulikuwa na sababu gani ya kutokumpa timu Mgunda?
UsihofuJapo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.
Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Huyu alieibiwa kwa Yanga Airport?Mtoeni uyo Ngoma, uwezi ukataka ushindi katika ngazi hii ya mashindano ukiwa kwenye timu yako una viungo wenye spidi ya konokono wawili.
Inatakiwa watu wenye kasi mechi bado iko wazi.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app