Kwa huu mpira papatu papatu sioni tukifika mbali CAFCL

Kabisa mkuu Golikipa sio mweusi yule ni mweupe peee, bila shaka ni mwarabu yule. Si anaonekana kabisa rangi yake?
 
Viongozi ndio tatizo.
Tungechagua viongozi vijana.Hawa wazee maamuzi yao ya hovyo sana.Kulikuwa na sababu gani ya kutokumpa timu Mgunda?
 
Viongozi ndio tatizo.
Tungechagua viongozi vijana.Hawa wazee maamuzi yao ya hovyo sana.Kulikuwa na sababu gani ya kutokumpa timu Mgunda?
Mkuu!
Nilikuwa natafuta Uzi wa namna hii niunge mkono!

Tatizo la Simba ni Uongozi- Nina mashaka makubwa na Try Again na Mangungu kuwa si viongozi wazuri wa mpira!
Ushaidi ni maamuzi Yao ya kwenye timu- binafsi hakukuwa na haja ya kumtoa mgunda, mgunda alikuwa timu kwenye Mazingira magumu akairekebesha timu ikafanya vizuri sana!
Timu ilikuwa inashinda na mpira wa kuvutia sana, timu ilikuwa inakaba inapokuwa haina mpira! - tofauti na Sasa timu haikabi kabisa- ushaidi angalia msgoli tunayofungwa
Maamuzi mengine ya ajabu ni kumuachia Beno kakolanya ilihali wakijua Aishi anaumwa! - huyu. Ayubu kwa kweli anatoa mashaka!
Ukija kwenye usajili Nako ni shida tupu! Msimu wa pili usajili unatia mashaka- msimu huu kwa mfano wamesajili washambuliaji wengi kuliko viungo wakabaji na mabeki!
Kwa kweli Kuna haja viongozi wajitathimini!
Hatuzaoea kuangalia mpira huku Matumbo yanaunguuruma!
Rudisha Mgunda - boli itembee!
 
Usihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…