Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

Wewe MK254 Tanzania sio mtu ni mfumo zile zama za zamani mliokuwa mnatupakazia mambo na kutuibia haki zetu zimeisha, zile zama za kutuchekea kijino pembe zimekwisha, zile zama za kujitambulisha kwenye mitandao kuwa kila kizuri kilichopo Tanzania ni cha Kenya zimekwisha

Sasa hivi ukijaribu jambo lolote baya kwa Tanzania unapata REPRISAL hapo hapo proportional na ulichokifanya dhidi ya jamhuri yeti au mtu wetu

Tunachotaka sasa Bongo, na marehemu Raisi Pomba (rest in eternal peace) alikuwa anasisitiza ni SYMBIOTIC RELATIONSHIP na mataifa na makampuni yote yanayofaya mahusiano na Tanzania , we need mutual respect
 
Mbona tukiwabana K zenu kwa kutumia Sera zetu mnaanza kupiga mayowe.
Vipi CoW iliishia wapi!?
 
Mbona tukiwabana K zenu kwa kutumia Sera zetu mnaanza kupiga mayowe.
Vipi CoW iliishia wapi!?

Hehehe!!! Umeacha copy pasting ya hizo nadharia na kuhamia mipasho, haya kwaheri....
 
Usijipe moyo sisi ni Jamaa sio capitalists tutawafinya pale mnapo stahili na mkikaa vibaya pia kichapo tutakitembeza anzia namanga mpaka nai hadi ikulu hatunaga mzaa huwa tuna Nia ya kila tukifanyacho. So madam president is doing what's best for Tz not Kenya sasa nyie leteni chokochoko mwone why can't you people learn our principles as a country n values don't change matter how many president pass, Nyerere mpaka Magufuli R. I. P wote waliwafinya pale mlipo stahili so stay put.
 
Tusome vipi mambo tunayo yajua, nyie ndo msome kujua yale tunayo yajua
 
kwani wewe huna imani na mama???
Ninayo kama Rais wangu,lakini ujue,kuna vitu vigumu Sana ambavyo vinahitaji kuinyesha uwezo binafsi ukiondoa taasisi ya Rais.uwezo wake tutauona kwenye.
1.Kusimamia Rasilimali za nchi Kama alivyofanya Magu,HAPA tungetegemea taasisi tusingefanikiwa.
2.Kuhimili Vishindo vya mafisadi wakubwa na wauza madawa ya kulevya,ndio maana Magu alikuwa na ulinzi mkali.
3.Kuhimili utulivu wa kisiasa na viroja vya makundi ndani ya CCM,juzi ulisikia anaongelea Watu kujipanga na 2025.
Mambo ni mengi,unajua mm nawashangaa wanaomsifia mapema hata kabla hajaanza kazi vizuri,kwa sababu bado tupo kwenye maombolezo ya kitaifa. Mm ni Imani naye Kama Rais,Ila tuvute subra kidogo.
 
Hivi huyu si alikua waziri tokea wakati wa magu, sasa hivi leo imekuaje[emoji23][emoji23]
Jamaa kweli wanaonyesha walikua wakimuogopa marehemu..

Jamaa hata hajapumzika vizuri jamaa kaja na idea hizi, kweli sio wote wanaokusifu watakua wanakupenda wengine ni hofu ndio inachangia kuheshimu kupindukia hata kushindwa kutoa maoni

https://www.facebook.com/
 
Inaonekana hujui technicalities za Rais wa Kuchaguliwa kwa kura na Rais wa ku-inherit kutokana na katiba.

The latter hawezi badili mipango ya mtangulizi wake kwa sababu Ilani alyoipigania JPM wakati wa uchaguzi ndio itakayotumika ktk kipindi chote cha second term. Atakachoweza kufanya ni kuongeza speed na ubunifu to wa wa utekelezaji. CCM ni taasisi kubwa sana tofauti na vyama vya mifukoni vya huko nchini kwenu...

Mama nayeye atakuja na mipango yake kama atangombea na kushinda 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…