Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

Wewe MK254 Tanzania sio mtu ni mfumo zile zama za zamani mliokuwa mnatupakazia mambo na kutuibia haki zetu zimeisha, zile zama za kutuchekea kijino pembe zimekwisha, zile zama za kujitambulisha kwenye mitandao kuwa kila kizuri kilichopo Tanzania ni cha Kenya zimekwisha

Sasa hivi ukijaribu jambo lolote baya kwa Tanzania unapata REPRISAL hapo hapo proportional na ulichokifanya dhidi ya jamhuri yeti au mtu wetu

Tunachotaka sasa Bongo, na marehemu Raisi Pomba (rest in eternal peace) alikuwa anasisitiza ni SYMBIOTIC RELATIONSHIP na mataifa na makampuni yote yanayofaya mahusiano na Tanzania , we need mutual respect
 
Hizi nadharia kila nchi inazo zimetundikwa ukutani, ila sasa uhalsia unategemea na kiongozi wa awamu husika akija mwenye kutoskliza ushauri wowote, anazivunja na kuzikiuka kwa kwenda mbele ikiwemo hata kukanyaga katiba kwenye masuala ya ndani ya nchi.
Mbona tukiwabana K zenu kwa kutumia Sera zetu mnaanza kupiga mayowe.
Vipi CoW iliishia wapi!?
 
Mbona tukiwabana K zenu kwa kutumia Sera zetu mnaanza kupiga mayowe.
Vipi CoW iliishia wapi!?

Hehehe!!! Umeacha copy pasting ya hizo nadharia na kuhamia mipasho, haya kwaheri....
 
Usijipe moyo sisi ni Jamaa sio capitalists tutawafinya pale mnapo stahili na mkikaa vibaya pia kichapo tutakitembeza anzia namanga mpaka nai hadi ikulu hatunaga mzaa huwa tuna Nia ya kila tukifanyacho. So madam president is doing what's best for Tz not Kenya sasa nyie leteni chokochoko mwone why can't you people learn our principles as a country n values don't change matter how many president pass, Nyerere mpaka Magufuli R. I. P wote waliwafinya pale mlipo stahili so stay put.
Hahahaha, mnaitegemea sana Tanzania katika maisha yenu yote, msitegemee jipya katika mahusiano kati ya Tanzania na Kenya kubadilika, kumbuka Kenya inakwaruzana na majirani wake wote.

Kuna mambo mengi yatabadilika katika uongozi wa mama Samia lakini sio mahusiano na Kenya, ninyi ni vichwa ngumu hamuwezi kuelewana na nchi yoyote ile, kama ninyi wenyewe hamuelewani, rais na naibu wake ni kama paka na panya, Jaluo vs Kikuyu, Kalenjin vs Kikuyu, Samburu vs Turkana, vipi unahisi Kenya inaweza kuelewana na Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tusome vipi mambo tunayo yajua, nyie ndo msome kujua yale tunayo yajua
Hehehehe MATAGA wengi naona mumekua kama mayatima na kupoteana, kila mmoja na kauli zake, mama amewachanganya hamjakaa mumsome kwanza, mpaka sasa naona anaendelea kutengua ujuha wote mliokua nawo, ambao ndio ulikua mtaji wenu humu.

Ila kuna huu uzi jamaa amechambua, nimeusoma neno kwa neno, mlikua hali mbovu sana, hebu usome japo tatizo lenu kubwa uzembe wa kusoma Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza
 
kwani wewe huna imani na mama???
Ninayo kama Rais wangu,lakini ujue,kuna vitu vigumu Sana ambavyo vinahitaji kuinyesha uwezo binafsi ukiondoa taasisi ya Rais.uwezo wake tutauona kwenye.
1.Kusimamia Rasilimali za nchi Kama alivyofanya Magu,HAPA tungetegemea taasisi tusingefanikiwa.
2.Kuhimili Vishindo vya mafisadi wakubwa na wauza madawa ya kulevya,ndio maana Magu alikuwa na ulinzi mkali.
3.Kuhimili utulivu wa kisiasa na viroja vya makundi ndani ya CCM,juzi ulisikia anaongelea Watu kujipanga na 2025.
Mambo ni mengi,unajua mm nawashangaa wanaomsifia mapema hata kabla hajaanza kazi vizuri,kwa sababu bado tupo kwenye maombolezo ya kitaifa. Mm ni Imani naye Kama Rais,Ila tuvute subra kidogo.
 
Hivi huyu si alikua waziri tokea wakati wa magu, sasa hivi leo imekuaje[emoji23][emoji23]
Jamaa kweli wanaonyesha walikua wakimuogopa marehemu..

Jamaa hata hajapumzika vizuri jamaa kaja na idea hizi, kweli sio wote wanaokusifu watakua wanakupenda wengine ni hofu ndio inachangia kuheshimu kupindukia hata kushindwa kutoa maoni
FB_IMG_16175515541602543.jpg


 
Hii kweli maana kiongozi lazima awe mwenye kuskliza na kuzingatia ushauri, sema pia hotuba za huyo mama anatumia sana maneno kama "sisi", "serikali yetu"...na sio "mimi" "serikali yangu".....maana kwamba ametambua urais ni taasisi yenye timu ndani yake na sio mtu mmoja. Mtangulizi wake alikua anapenda sana hili la "mimi", nakumbuka kipindi fulani akisema "alikwenda kuchukua fomu yeye pekee yake, hivyo ni yeye tu basi".
Inaonekana hujui technicalities za Rais wa Kuchaguliwa kwa kura na Rais wa ku-inherit kutokana na katiba.

The latter hawezi badili mipango ya mtangulizi wake kwa sababu Ilani alyoipigania JPM wakati wa uchaguzi ndio itakayotumika ktk kipindi chote cha second term. Atakachoweza kufanya ni kuongeza speed na ubunifu to wa wa utekelezaji. CCM ni taasisi kubwa sana tofauti na vyama vya mifukoni vya huko nchini kwenu...

Mama nayeye atakuja na mipango yake kama atangombea na kushinda 2025.
 
Back
Top Bottom