Kwa huu utitiri wa mabasi mapya ya Arusha - Dar na masaa 24 yanasafiri, hivi ile treni ya Magufuli bado ipo?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar

Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana.

Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar bado ipo? Je ina abiria?
 
Alikufa nayo
 
Train ipo na inafanya kazi.
Tofautisha nauli ya train na ya bus.
 
Back
Top Bottom