Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili kisoda matusi mtajiwako

Yaani umeona gorofa ni thamai
Bwege kabisa wewe
Nyumba ya chini inaweza kuwa ya gharama kuliko mobox ghorofa unayo yasifu

Kapuku Mkubwa chunga domo lisilopigwa mswaki

Chawa wahedi wewe
Onyesha shule mlizojengq Wacha empty words.

Umewahi ona wapi shule ya chini ikawa ghali kushinda ghorofa?

By the way hata hizo za chini tunazo kama zote mfano hizi hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C1vA3DmtcWP/?igsh=NTNoZDNhMnZrajE1

View: https://www.instagram.com/p/C1u_Z0rtQc2/?igsh=MWd0aHp6am45YXQwZA==
 
Lengo ni kuinasa ngome ya Kanda ya ziwa, ni kama ilikuwa CCM wameanza kupoteza ushawishi.

Na ndio sababu ya Dotto Biteko kutokea kanda ya ziwa kuwekwa makamu wa Waziri Mkuu
CHADEMA hii ilikuwa ngome yao kipindi Cha akina Dr.slaa ,sijui kwanini Tena mlijisahau mkatepeta ,leteni Tena operesheni sangara
 
Wewe Mimi sio chawa kama wewe
Sipo hapa kushindana na boya kama wewe
Mimi Huwa sishindani na wajinga,na ndio maana Huwa nawatandika Kwa facts mnaishia kupayuka na kutukana hovyo ,typical dustibin mind 😂😂

Pole sana Kwa maumivu,Samia anawafunza maana ya Uongozi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_QPlB0Ayf9/?igsh=dHpsaGl3NHU2dzg2
kwimba_dc_1729610964277.jpg
kwimba_dc_1729610965785.jpg
kwimba_dc_1729610965451.jpg
kwimba_dc_1729610962612.jpg
 
Hasafishiki ni mchafu kuliko choo cha stend! hakifai hata kunyea watu wastaarabu! halafu sema hizo fedha ni za mamaye au kati ya michepuko yake!!?? Kama na wewe unahitaji kuchepuka naye jiandae kukabilia na majini ya waziri salum
Kwani wewe ukimuona mchafu ndio itafuta hiyo miradi anayofanya? 😂😂

Yupo hapa Hadi 2030 na huna Cha kumfanya ni utake au usitake na kazi ataendelea kupiga na tutakuonesha.

Bado hujasema Hadi useme 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBAoRzsNAem/?igsh=cXdpcW9xZ2oxM3di
 
Acha fix; miradi yote kanda ya ziwa iliasisiwa na Marehemu Jiwe, mama kizi anakamikisha tu tena anafanya sababu hana namna ya kuitelekeza.

Sifa ziende kwa Jiwe, alijitahidi sana kuipandisha juu kanda ya ziwa pamoja na umafia wake wa kupoteza roho za watu zisizo na hatia.
 
Acha fix; miradi yote kanda ya ziwa iliasisiwa na Marehemu Jiwe, mama kizi anakamikisha tu tena anafanya sababu hana namna ya kuitelekeza.

Sifa ziende kwa Jiwe, alijitahidi sana kuipandisha juu kanda ya ziwa pamoja na umafia wake wa kupoteza roho za watu zisizo na hatia.
Nimekupa list ya miradi 30,niletee hata mmja ambao umeanza kabla ya 2021.

Naona chuki zinawasumbua ila tuko hapa kuweka rekodi sawa na hizo rekodi zinaonesha kabisa Mama amefunika Shujaa wenu sio tuu huko Mwanza Bali Nchi nzima.

Bado hujasema Buchosa wanashangilia uwepo wa Maji chini ya mradi wa Visima 900 Nchi nzima wa mama 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DBbvpHvsgFM/?igsh=dzViZDBqZHp6M2g1
 
Kwa nini aziache badala ya kuwalipa wakandarasi au kuanzisha Ujenzi?

Unadhani Kwa nini ujenzi usianze ikiwa pesa zipo?

Arguing with an idiot 😁😁

Mwisho list Ina miradi 27 mipya in less than 4 years,put aside the so called Miradi ya JPM..

Miaka 6 Shujaa wenu alikuwa anafanya kazi gani?

Ujenzi wa Kituko.cha Uokoaji Cha Kanda Ziwa Viktoria unaendelea 👇👇

View: https://youtu.be/FA6KN_8zdFE?si=4PLfesaVv7isjqBF
View attachment 3132218

we chawa mchafu, mradi ulikuwa ushaanza, utajulia wapi upo makete huko unaishi kwa matumaini.
 
Back
Top Bottom