Akili kisoda matusi mtajiwakoWewe mwenye akili Tuoneshe shule za magorofa mlizojengea awamu ya vuvuzela
Awamu ya 6 hizi hapa ππ
View: https://youtu.be/sfn6OAXFZr0?si=91NL-nEpl4527YJ-
Onyesha shule mlizojengq Wacha empty words.Akili kisoda matusi mtajiwako
Yaani umeona gorofa ni thamai
Bwege kabisa wewe
Nyumba ya chini inaweza kuwa ya gharama kuliko mobox ghorofa unayo yasifu
Kapuku Mkubwa chunga domo lisilopigwa mswaki
Chawa wahedi wewe
CHADEMA hii ilikuwa ngome yao kipindi Cha akina Dr.slaa ,sijui kwanini Tena mlijisahau mkatepeta ,leteni Tena operesheni sangaraLengo ni kuinasa ngome ya Kanda ya ziwa, ni kama ilikuwa CCM wameanza kupoteza ushawishi.
Na ndio sababu ya Dotto Biteko kutokea kanda ya ziwa kuwekwa makamu wa Waziri Mkuu
Jemima MremboCHADEMA hii ilikuwa ngome yao kipindi Cha akina Dr.slaa ,sijui kwanini Tena mlijisahau mkatepeta ,leteni Tena operesheni sangara
Hasafishiki ni mchafu kuliko choo cha stend! hakifai hata kunyea watu wastaarabu! halafu sema hizo fedha ni za mamaye au kati ya michepuko yake!!?? Kama na wewe unahitaji kuchepuka naye jiandae kukabilia na majini ya waziri salum
Wewe Mimi sio chawa kama weweOnyesha shule mlizojengq Wacha empty words.
Umewahi ona wapi shule ya chini ikawa ghali kushinda ghorofa?
By the way hata hizo za chini tunazo kama zote mfano hizi hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C1vA3DmtcWP/?igsh=NTNoZDNhMnZrajE1
View: https://www.instagram.com/p/C1u_Z0rtQc2/?igsh=MWd0aHp6am45YXQwZA==
Mimi Huwa sishindani na wajinga,na ndio maana Huwa nawatandika Kwa facts mnaishia kupayuka na kutukana hovyo ,typical dustibin mind ππWewe Mimi sio chawa kama wewe
Sipo hapa kushindana na boya kama wewe
Kwani wewe ukimuona mchafu ndio itafuta hiyo miradi anayofanya? ππHasafishiki ni mchafu kuliko choo cha stend! hakifai hata kunyea watu wastaarabu! halafu sema hizo fedha ni za mamaye au kati ya michepuko yake!!?? Kama na wewe unahitaji kuchepuka naye jiandae kukabilia na majini ya waziri salum
Watanzania sio wajinga tena wa kuiziwa maneno matupu na watu wasiojielewa kutoka kwenye Vyama vibaraka.CHADEMA hii ilikuwa ngome yao kipindi Cha akina Dr.slaa ,sijui kwanini Tena mlijisahau mkatepeta ,leteni Tena operesheni sangara
Nimekupa list ya miradi 30,niletee hata mmja ambao umeanza kabla ya 2021.Acha fix; miradi yote kanda ya ziwa iliasisiwa na Marehemu Jiwe, mama kizi anakamikisha tu tena anafanya sababu hana namna ya kuitelekeza.
Sifa ziende kwa Jiwe, alijitahidi sana kuipandisha juu kanda ya ziwa pamoja na umafia wake wa kupoteza roho za watu zisizo na hatia.
Sawa, nawe mshamba wa makete jifunze kutumia condom muipunguzie jamii mzigo wa kulea watoto yatima.Wewe mshamba wa Mwanza jifunze ku post picha vizuri
Mamluki ni kina nani?Tutawachagua vionggozi wanaotufaa SI mamluki
we chawa mchafu, mradi ulikuwa ushaanza, utajulia wapi upo makete huko unaishi kwa matumaini.Kwa nini aziache badala ya kuwalipa wakandarasi au kuanzisha Ujenzi?
Unadhani Kwa nini ujenzi usianze ikiwa pesa zipo?
Arguing with an idiot ππ
Mwisho list Ina miradi 27 mipya in less than 4 years,put aside the so called Miradi ya JPM..
Miaka 6 Shujaa wenu alikuwa anafanya kazi gani?
Ujenzi wa Kituko.cha Uokoaji Cha Kanda Ziwa Viktoria unaendelea ππ
View: https://youtu.be/FA6KN_8zdFE?si=4PLfesaVv7isjqBFView attachment 3132218