ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #281
Ukipiga picha miradi inashushaje credibility? Bila picha uma utajuaje kinachoendelea si ndio nyie Huwa mnasema hamna kitu?Kinachoshusha Credibility ya Mama kwenye hiyo miladi ni kuigeuza Miladi ya kupigia Picha kila anayekuja anapita location kidogo kupata picha, We Miladi gani isiyokamilika hiyo soko kuu toka 2019 tunaelekea 2025 sasa, Mladi wa Maji Butimba ukisikia umekamilika ni chanzo cha Maji usambazaji bado ni kimberley, Daraja la JPM nalo ni yaleyale, njoo kwenye Meli nako tabu tupu, hivyo vyuo sijui Ardhi ni eneo tu limetengwa wala hakuna kitu pale, angalau TIA, Mipango na DIT ndio vimeanza Operation, Barabara zilizopangwa kujenga hazifiki hata km 60 kwa ujumla wake yaani mechukua km 3 kwa kila Barabara ndefu ni km 11 nazo ni za tactic, kiwanja cha ndege hata haielewki ni cha Kimataifa au ndo zinatafutwa kula, Alafu miladi mingi iliyobaki ni makaratasi tu hakuna kitu kwa ground mnajaza Render tu, Fungueni Miladi sisi kula tutawapa tu hamna haja ya kutesa watu mpaka siku za uchaguzi, watu wapo mbugani kule sokoni tope jingi alafu pale soko kuu hapaishi.
Hakuna credibility inayoshuka,ni shida zako binafsi tuu na picha zinaendelea kupigwa na wanaotembelea.
Mwisho unaposema hakuna kitu wakati humu nimeweka picha ,video za progress unakuwa unalenga nini labda?