Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukipiga picha miradi inashushaje credibility? Bila picha uma utajuaje kinachoendelea si ndio nyie Huwa mnasema hamna kitu?

Hakuna credibility inayoshuka,ni shida zako binafsi tuu na picha zinaendelea kupigwa na wanaotembelea.

Mwisho unaposema hakuna kitu wakati humu nimeweka picha ,video za progress unakuwa unalenga nini labda?
 
Binafsi mimi Mama kuna Mda nahisi wasaidizi wake wanamuhujumu inakuwaje miladi inachukia mda mlefu kiasi hicho
 
Binafsi mimi Mama kuna Mda nahisi wasaidizi wake wanamuhujumu inakuwaje miladi inachukia mda mlefu kiasi hicho
Wewe ni mgeni na miradi ya serikali? Mradi gani haujawahi chukua mda mrefu ?

Kwenu Sgr imechukua mda gani? Si ilikuwa ikamilike Toka 2020?

Miradi ambayo sio ya Fedha za Mkopo Huwa Inachukua mda mrefu
 
Huo utitiri wa miradi iliyomwagwa Je ni hela ya Tanzania(Own sources) au hela za mikopo. Kama ni hela za mikopo hakuna sifa ambayo anatakiwa kupewa. Kila Mtanzania atatakiwa kulipa mikopo hiyo.
 
Huo utitiri wa miradi iliyomwagwa Je ni hela ya Tanzania(Own sources) au hela za mikopo. Kama ni hela za mikopo hakuna sifa ambayo anatakiwa kupewa. Kila Mtanzania atatakiwa kulipa mikopo hiyo.
90% pesa za ndani.

Jambo la msingi ni miradi swala la chanzo Cha pesa sio hoja
 
Huu utoto bakini nao huko kwenu...

Hapo Mwanza kuna kila aina ya kabila unalolijua...

Hivyo itoshe kusema kuna watu wa Mwanza wanamkubali na wasiomkubali Samia....

Hayo mambo ya kuangalia ni kabila gani linamkubali au kumkataa mtu ni huko kwenu.
Endelea kubishi andaeni utaratibu wa kuiba kura otherwise tegemeeni aibu
 
Nani huyo wa kusababishia Samia aibu labda huko Upinzani njaa? Nyie mtaishia kuwa Wapinzani wa jf na mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† mkuu nasikitia sana 😒 😿 😭 hili la watu kupotea in a thin air without trace. She is as worse as a predecessor
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† mkuu nasikitia sana 😒 😿 😭 hili la watu kupotea in a thin air without trace. She is as worse as a predecessor
Linahusikaje na mada yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…