Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sanane island huko kungejengwa ukumbi mkubwa wa mikutano mithili Kama ule wa Arusha AICC wenye umbo la samaki na hoteli Kama mbili zenye nembo hiyo,hiyo ndo uniqueness ya awamu ya 6 tulitaka kuona,sipingi uliyo sema ,Ila umeandika kiushabiki Sana ,Kama vile mwanza imeanza Jana,lakini kumbe miradi hiyo tulitakiwa kuipata miaka ya 1990s, Ila tulicheleweshewa tu,siyo hisani,aksante na kwa hicho pia mama,Ila siyo unique sababu na kwingine IPO,u unique wa mwanza nimeeleza hapo,na Utalii utakuwa Sana mwanza
 
wala watu hawali ushuru na tozo kausha damu za halmashauri, barabara hazijengwi na viushuru vya kuwakamua wauza bamia wa sokoni.

Dom na Arusha watoto wadogo sana kwa Mwanza, Hata kwa kuchangia pato la taifa wanalambishwa mchanga vibaya mno na Mwanza, wanachangia kiduchu sana, yaani kwa kifupi hawana msaada kwa taifa.
Hujui kitu wewe,watu wanakula ushuru na tozo za Halmashauri zinajenga Barabara ,mfano huu hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBQbkm3iagB/?igsh=M3c2a3l2eGh4dnhu

Mwanza ni Mji local na maskini sana.Fikeni level hizi ndio mje kushindana na Dom HQ 👇👇
Screenshot_20241014-181938.jpg
 
Natamani siku moja mje na mpango wa kubomoa nyumba zote za milimani halafu zijengwe kwa ramani ya umbo la samaki zote, halafu kumbi zote na guest house zijengwe kw umbo la meli,kweli tungesema ,Hakika MWANZA WAMEPENDELEWA na serikali awamu ya 6.
Lakini Sasa vinavyofanyika na Kama ni kweli lakini,ni vya kawaida (universal),vilitakiwa kuwepo,Bali tukanyimwa tuuuuuuuu,miaka mingi sana
Ulikuwepo wakaukataa,si unajua hapa Tanzania Kuna siasa za kipumbavu za kuwachukulia wawekezaji kama wezi na miradi ya kufaidisha Wanasiasa?
 
Mtoa punguza ushabiki, mwanza imetelekezwa na serikali miradi unayosema ya shule, maji, afya, hiyo ni universal na pia ni kwa levels za grammar schools, lakini shule za tertiary education, mwanza hakuna, vitu vinavyoleta watu wengi na fedha mwanza hakuna ( Utalii) sanane ile tumeachiwa na wazungu , Hadi Leo Haina promotion yeyote, miji ya milimani hiyo ingekuwa arranged na kuwa decorated kufanya mji kuwa wa kitalii , mwanza ingependeza Sana na kuvuta watu wengi mnooooooo, na biashara zingetembea,kwa hiyo majivuno yako ni Bure miradi hiyo IPO kil mahali,nifikiru Kuna miradi unique Sana mmeleta
Serikali za awamu zilizopita ndio ziliwatelekeza na Kwa kuwa mlikuwa wajinga mkawa mnashangilia miradi ya Maonesho ambayo haiwezi kuwasaidia Kwa lolote.

Mwisho mtoe SSH kwenye upuuzi wenu,hiyo orodha hapo Juu imegusa Kila sekta na ni Samia huyo huyo ndio ametoa pesa wanakamilisha hoteli ya Nssf ambayo Shujaa wenu aliitelekeza Toka enzi za JK.

Na on top of that ni Samia huyo huyo ndio anajenga upya Mwanza Airport na kulipa hadhi ya Kimataifa.

Ni Serikali ya Samia ambayo unajiandaa kujenga hoteli za Kisasa hapo Mwanza Airport.

Nilitegemea umpe maua yake walau Kwa kugusa na kumiminwa miradi ya muhimu wewe unambeza,kama ni university why hakuna hizo high school unazolalamikia hapa?

Jifunze kutumia ubongo sawa sawa badala ya chuki 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAVjhiSN8I7/?igsh=MTJ1NmJ4aW5maXQ2Zg==

View: https://youtu.be/LditTksgQ68?si=vA1BrmX_5GQTE9bs
 
Samia siwezi kumbeza,ninachokikataa ni kusema mwanza imependelewa ,utadhani kwamba miradi mingine ya maji,afya,umeme nk haifanyiki kwingine,hiyo sikweli,neno kupendelewa lingekuja tu labda Kama project nilizotaja kama zingekuwa ziko implemented,kwa hiyo punguza ushabiki ,uwe rational,walau kidogo
 
Heading umeielewa? Wewe ndio umesema Mwanza imetelekwzwa bila kueleza specifically how?
 
Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni.

Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni

a)Miradi ya Urithi kutoka awamu ya 5,iliyokamilika na inayoendelea.

b)Miradi Mipya iliyoanza awamu ya 6 iliyokamilika na inayoendelea.

c)Na miradi ambayo Iko Mbioni kuanza wakati wowote .

Ifuatavyo ni miradi ambayo inatekelezwa na Rais Samia Mkoani Mwanza Kwa Kila kundi.

(a)MIRADI MIPYA
1.Ujenzi wa Barabara za Lami Mitaani mradi wa TACTIC Mwanza CC na Ilemela MC km 32 eg Buhongwa-Igoma

2.Ujenzi wa Soko La Kirumba na Soko la Samaki Mkuyuni Bilioni 25.

3.Upanuzi wa Kampasi ya TIA Usagara-Mwanza ,Bilioni 8

4.Ujenzi wa Soko Kuu la Jiji la Mwanza

5.Ujenzi wa Hospitali ya Jiji gorofa 6

6.Ujenzi wa Majengo Mapya ya Gorofa Chuo Cha Ufundi na Maendeleo Misungwi.

7.Ujenzi wa Jengo jipya la Mwanza Airport na kukarabati wa uwanja kuwa wa Kimataifa

8.Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la TBA Ghana Kota gorofa 7

10.Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Ardhi Mwanza (Sengerema)

11.Ujenzi wa Barabara za Mitaani chini ya TARURA eg Kisesa-Bujora,kiyungi road nk

12.Ujenzi wa Vyumba vya madarasa na shule Mpya zikiwemo za gorofa eg Kisenga ,Igudija nk katika Wilaya zote.

13.Ujenzi wa Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya na ununuzi wa vifaa tiba Wilaya zote za Mwanza.

14.Mradi wa Maji Ukiriguru-Sumve Wilayani Misungwi Bilioni 32.

15.Ujenzi wa Barabara ya Hungumalwa-Ngudu-Magu km 71

16.Ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Ukerewe

17.Upanuzi wa Bandari za Mwanza South sanjali na ujenzi wa vivuko vipya.

18.Ujenzi wa Chuo Cha Michezo Malya (Malya Sports Complex and Training Centre).Zaidi ya Bilioni 40.

19.Ujenzi wa Barabara ya Mabuki-Jojiro-Ngudu

20.Ujenzi wa Barabara ya Mwanza Airport -Kayenze-Nyanguge

21.Ujenzi wa Barabara ya Nansio-Rugezi

22.Ujenzi wa Barabara ya Mwanangwa-Misasi-Salawe-Solwa-Kahama km 150.

23.Ujenzi wa Barabara ya Bukokwa-Nyakalilo

24.Ujenzi wa Barabara ya Ilalila-Shibula

25.Ujenzi wa Barabara ya Sengerema -Nyehunge km 54.4 (Bilioni 73).

26.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Simiyu lenye mita 150 pamoja na Barabara Unganishi.

27.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Sukuma lenye urefu wa mita 70 na barabara Unganishi km 4.

media="media="instagram:C89677rNdfd"]
View: https://www.instagram.com/p/C89677rNdfd/?igsh=ZTdkNml4YTQwa2V0[/URL]

View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=fb9L7WED3YEdNVdb

(b)Miradi ya Urithi
1.Ujenzi wa daraja la JPM
2.Ujenzi wa Sgr ya Mwanza-Isaka
3.Ukamilishaji wa Stendi za
Nyegezi na Nyamhongolo
4.Ukamilishaji wa mradi wa Maji Butimba
5.Ukamilishaji wa Jengo la OPD Sekou Toure gorofa 6
6.Ukarabati wa Meli kubwa ya MV Mwanza Hapa kazi tuu.
7.Ukamilishaji wa Chuo Cha Ufundi na Teknolojia DIT Mwanza Campus
8.Ukamiloshji wa Tawi la Chuo Cha Mipango Vijijini Mwanza Centre

View: https://youtu.be/n97F4rAuoPs?si=tmTMNkcjX_nX7z3r

(c)Miradi ambayo Iko Mbioni kuanza ni

-Upanuzi wa Barabara ya njia 4 kutoka Mwanza CBD Hadi JPM bridge (lot 1 km 25),CBD-Usagara Jnct km 25.
-Ujenzi wa mgodi mkubwa wa Madini ya Dhahabu Nyanzaga
-Upanuzi wa Barabara kuu ya Musoma kuwa njia 4
-Upanuzi wa Barabara kuwa njia 4 kutoka Usagara-Shinyanga Border
-Kamanga-Katunguru-Sengerema km 3.
-Upanuzi kuwa njia 4 wa Barabara ya Mwanza-Nyanguge km 35.
-Mwanza Airport-Igombe-Kayenze-Nyanguge km 46
-Mkuyuni-Mahina-Nyakato km 10
-Nyakato(VETA)-Buswelu-Mhonze km 18.
View attachment 3127876

My Take
Hiyo ni Baadhi tuu ya miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Samia huko Mwanza.

Kiufupi Samia ameiheshimisha Mwanza kushinda Shujaa waliyedai Anapendelea Kwao.

Kazi Iendelee.CC Nyanduzy , @feke b kidume
[URL unfurl="true" media=

View attachment 3128482View attachment 3128483View attachment 3128484View attachment 3128485View attachment 3128486

Wabeeja gete mayo daktari Samia Suluhu Hassani kwenha mamihayo gawiza genaya ku ng’wanza.

Banhu henaha bareshunuraga geete. Neyo ruulu bakonona. Shunuragi geete
Abatatogirwe mandeleyo mkunyaa.
 
Tofautisha 2,3 na 4.

Wapi nimesema hawakufanya kitu? Unakurupuka

Wabeeja gete mayo daktari Samia Suluhu Hassani kwenha mamihayo gawiza genaya ku ng’wanza.

Banhu henaha bareshunuraga geete. Neyo ruulu bakonona. Shunuragi geete
Abatatogirwe mandeleyo mkunyaa.
Basukuma bagalu na bagika jagi kubulabo mkeebe nzoka yu henge, bamunhu bugawa bugaawa,
 
Hahaha sisi wa kanda ya ziwa tunafahamu Bila Magufuli hata mbegu za pamba wangepeleka Zanzibar. Kura zetu labda mzinunue, hatupigii kura raia wa kigeni.
🚮🚮🚮🚮 Kwa hiyo Magufuli aliwaletea mbegu?

Mwisho usiweke ujumuishi sema wewe maana sio Kila anaeishi Mwanza ni mjinga kama wewe.
 
Hujui kitu wewe,watu wanakula ushuru na tozo za Halmashauri zinajenga Barabara ,mfano huu hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBQbkm3iagB/?igsh=M3c2a3l2eGh4dnhu

Mwanza ni Mji local na maskini sana.Fikeni level hizi ndio mje kushindana na Dom HQ 👇👇
View attachment 3131232

ucho

Uchochoro unaita barabara 😂😂😂, Milioni 400 haiwezi kujenga hata nusu kilomita ya barabara bali inajenga vichochoro vya mitaa huko.
ushuru kausha damu unakula watu watu hawali ushuru, serikali kuu iliweka kwenye miamala ya kifedha nchi nzima mkapiga yowe, sasa huko dodoma ambako wahana mchango wowote kwenye pato la taifa wameweka kwenye bamia na nyanya chungu ndo maana wanazidi kuzalisha omba omba na milembe wodi zinatanuliwa sababu vichaa wanaongezeka sababu ya hali mbaya ya uchumi.
 
Kuna mada ya Mwanza vs Dodoma,Mwanza vs Arusha nenda ukachangie Ili tukupe za uso.

Huku unachafua mada yangu.
 
Kuna mada ya Mwanza vs Dodoma,Mwanza vs Arusha nenda ukachangie Ili tukupe za uso.

Huku unachafua mada yangu.
Mada zako unajichafulia mwenyewe, ukiona tu Mwanza inazungumziwa jinsi inavyopaa kiuchumi na maendeleo lazima upate mchecheto wa kutaja Arusha, Mbeya, dodoma, njombe, nk ili kufariji nafsi yako dhidi ya chuki yako kuu juu ya mwanza, Magufuli na wasukuma, Dodoma yenyewe uliyoanza kuisifia juzijuzi hapa ni jitihada za hayati magufuli unayemchukia.
 
Kwa SSH Kila goti litapigwa Kwa shangwe na shujrani.

Mwanza wameanza,wanajiukiza mama amewezaje na Shujaa alishindwa? 👇👇

View: https://youtu.be/vvwb5guONc0?si=yqAXhviiZ0iCwIuQ
 
CBE,DIT,TIA,Ardhi university nimesort hivyo hayo ni makaratasi ndugu yangu (draft), MWANZA natembea kila siku huku napajua,umetaja ukiriguru,pale wanatunuku shahada au astashahada tuanzie hapo kwanza, punguza chumvi kwenye habari zako,si mchukii SSH ,Bali naonesha tu uhalisia,CDTI iliyoko mwanza inatunuku tunu sawa na CDTI ya pale TENGERU?
Hiyo miradi hapo Juu nimeitaja ni nyie mnajipigania wenyewe Kwa pesa zenu?

Unadai hakuna Vyuo vya Kati vya Ufundi au Vyuo Vikuu wakati hujui chochote licha ya kuishi huko Mwanza.

Ardhi University (Sengerema) sio Chuo Kikuu?

DIT,Misungwi CDTTI,CBE,TIA,Mipango,Ukiriguru,Mabuki,Butimba,Pansiansi nk sio Vyuo vya Kati ?

Punguza povu lisilo na msingi ,eti Uchaguzi ukiisha inaachwa 🤣🤣🤣🤣

Maendeleo hayafanyiki Kwa sababu za uchaguzi,ni wajibu wa Serikali kuleta maendeleo Ili kukuza Uchumi wa watu na Nchi.

Mwisho ulitakiwa kusoma mada yangu mradi Kwa mradi harafu uje hapa kusema hakuna eg unadai hakuna hospital ya Rufaa wakati unajua kabisa Ukerewe inajenga Hospital ya Hadhi ya Mkoa au Arusha Kuna Hospital ya Rufaa ya Serikali?
IT
 
CBE,DIT,TIA,Ardhi university nimesort hivyo hayo ni makaratasi ndugu yangu (draft), MWANZA natembea kila siku huku napajua,umetaja ukiriguru,pale wanatunuku shahada au astashahada tuanzie hapo kwanza, punguza chumvi kwenye habari zako,si mchukii SSH ,Bali naonesha tu uhalisia,CDTI iliyoko mwanza inatunuku tunu sawa na CDTI ya pale TENGERU?

IT
Wewe Jamaa ni mzima kweli? Kukaa jirani na mahaka ndio kujua sheria?

Wewe si ulizungumzia Vyuo vya Kati na Polytechnique? Kwamba umeenda Usagara ukakuta TIA haijengwi pale?

Vyuo Vikuu,Ardhi University imeanza ujenzi Sengerema,Chuo Cha Mipango tayari kimeanza kutoa kozi zake Mwanza au hata hujui kuliko?👇👇

View: https://youtu.be/_EQ8nl2LYck?si=rkdWPmobhzlF6KP4

Mwisho Kwa kukusaidia tuu ni kwamba umeuliza shule za Advance,kuna shule Mpya ya Mkoa ya wasichana imejengwa.

Pia Chuo Cha Benki Kuu Mwanza kinatoa Bachela na viko 2 tuu Tanzania nzima,nenda Capri Point utakikuta.
 
Back
Top Bottom