Hujui kitu wewe,watu wanakula ushuru na tozo za Halmashauri zinajenga Barabara ,mfano huu hapa 👇👇wala watu hawali ushuru na tozo kausha damu za halmashauri, barabara hazijengwi na viushuru vya kuwakamua wauza bamia wa sokoni.
Dom na Arusha watoto wadogo sana kwa Mwanza, Hata kwa kuchangia pato la taifa wanalambishwa mchanga vibaya mno na Mwanza, wanachangia kiduchu sana, yaani kwa kifupi hawana msaada kwa taifa.
Ulikuwepo wakaukataa,si unajua hapa Tanzania Kuna siasa za kipumbavu za kuwachukulia wawekezaji kama wezi na miradi ya kufaidisha Wanasiasa?Natamani siku moja mje na mpango wa kubomoa nyumba zote za milimani halafu zijengwe kwa ramani ya umbo la samaki zote, halafu kumbi zote na guest house zijengwe kw umbo la meli,kweli tungesema ,Hakika MWANZA WAMEPENDELEWA na serikali awamu ya 6.
Lakini Sasa vinavyofanyika na Kama ni kweli lakini,ni vya kawaida (universal),vilitakiwa kuwepo,Bali tukanyimwa tuuuuuuuu,miaka mingi sana
Serikali za awamu zilizopita ndio ziliwatelekeza na Kwa kuwa mlikuwa wajinga mkawa mnashangilia miradi ya Maonesho ambayo haiwezi kuwasaidia Kwa lolote.Mtoa punguza ushabiki, mwanza imetelekezwa na serikali miradi unayosema ya shule, maji, afya, hiyo ni universal na pia ni kwa levels za grammar schools, lakini shule za tertiary education, mwanza hakuna, vitu vinavyoleta watu wengi na fedha mwanza hakuna ( Utalii) sanane ile tumeachiwa na wazungu , Hadi Leo Haina promotion yeyote, miji ya milimani hiyo ingekuwa arranged na kuwa decorated kufanya mji kuwa wa kitalii , mwanza ingependeza Sana na kuvuta watu wengi mnooooooo, na biashara zingetembea,kwa hiyo majivuno yako ni Bure miradi hiyo IPO kil mahali,nifikiru Kuna miradi unique Sana mmeleta
Heading umeielewa? Wewe ndio umesema Mwanza imetelekwzwa bila kueleza specifically how?Samia siwezi kumbeza,ninachokikataa ni kusema mwanza imependelewa ,utadhani kwamba miradi mingine ya maji,afya,umeme nk haifanyiki kwingine,hiyo sikweli,neno kupendelewa lingekuja tu labda Kama project nilizotaja kama zingekuwa ziko implemented,kwa hiyo punguza ushabiki ,uwe rational,walau kidogo
Kazi inaendelea vizuri 👇👇Aisee hongera sana
Najiuliza kina nani hao wema wanaozichunga hela zote hizo?
Kila la kheri, na tunaomba ikamilike na majengo yasimame hata 50 years
Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni.
Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni
a)Miradi ya Urithi kutoka awamu ya 5,iliyokamilika na inayoendelea.
b)Miradi Mipya iliyoanza awamu ya 6 iliyokamilika na inayoendelea.
c)Na miradi ambayo Iko Mbioni kuanza wakati wowote .
Ifuatavyo ni miradi ambayo inatekelezwa na Rais Samia Mkoani Mwanza Kwa Kila kundi.
(a)MIRADI MIPYA
1.Ujenzi wa Barabara za Lami Mitaani mradi wa TACTIC Mwanza CC na Ilemela MC km 32 eg Buhongwa-Igoma
2.Ujenzi wa Soko La Kirumba na Soko la Samaki Mkuyuni Bilioni 25.
3.Upanuzi wa Kampasi ya TIA Usagara-Mwanza ,Bilioni 8
4.Ujenzi wa Soko Kuu la Jiji la Mwanza
5.Ujenzi wa Hospitali ya Jiji gorofa 6
6.Ujenzi wa Majengo Mapya ya Gorofa Chuo Cha Ufundi na Maendeleo Misungwi.
7.Ujenzi wa Jengo jipya la Mwanza Airport na kukarabati wa uwanja kuwa wa Kimataifa
8.Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la TBA Ghana Kota gorofa 7
10.Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Ardhi Mwanza (Sengerema)
11.Ujenzi wa Barabara za Mitaani chini ya TARURA eg Kisesa-Bujora,kiyungi road nk
12.Ujenzi wa Vyumba vya madarasa na shule Mpya zikiwemo za gorofa eg Kisenga ,Igudija nk katika Wilaya zote.
13.Ujenzi wa Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya na ununuzi wa vifaa tiba Wilaya zote za Mwanza.
14.Mradi wa Maji Ukiriguru-Sumve Wilayani Misungwi Bilioni 32.
15.Ujenzi wa Barabara ya Hungumalwa-Ngudu-Magu km 71
16.Ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Ukerewe
17.Upanuzi wa Bandari za Mwanza South sanjali na ujenzi wa vivuko vipya.
18.Ujenzi wa Chuo Cha Michezo Malya (Malya Sports Complex and Training Centre).Zaidi ya Bilioni 40.
19.Ujenzi wa Barabara ya Mabuki-Jojiro-Ngudu
20.Ujenzi wa Barabara ya Mwanza Airport -Kayenze-Nyanguge
21.Ujenzi wa Barabara ya Nansio-Rugezi
22.Ujenzi wa Barabara ya Mwanangwa-Misasi-Salawe-Solwa-Kahama km 150.
23.Ujenzi wa Barabara ya Bukokwa-Nyakalilo
24.Ujenzi wa Barabara ya Ilalila-Shibula
25.Ujenzi wa Barabara ya Sengerema -Nyehunge km 54.4 (Bilioni 73).
26.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Simiyu lenye mita 150 pamoja na Barabara Unganishi.
27.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Sukuma lenye urefu wa mita 70 na barabara Unganishi km 4.
media="media="instagram:C89677rNdfd"]
View: https://www.instagram.com/p/C89677rNdfd/?igsh=ZTdkNml4YTQwa2V0[/URL]
View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=fb9L7WED3YEdNVdb
(b)Miradi ya Urithi
1.Ujenzi wa daraja la JPM
2.Ujenzi wa Sgr ya Mwanza-Isaka
3.Ukamilishaji wa Stendi za
Nyegezi na Nyamhongolo
4.Ukamilishaji wa mradi wa Maji Butimba
5.Ukamilishaji wa Jengo la OPD Sekou Toure gorofa 6
6.Ukarabati wa Meli kubwa ya MV Mwanza Hapa kazi tuu.
7.Ukamilishaji wa Chuo Cha Ufundi na Teknolojia DIT Mwanza Campus
8.Ukamiloshji wa Tawi la Chuo Cha Mipango Vijijini Mwanza Centre
View: https://youtu.be/n97F4rAuoPs?si=tmTMNkcjX_nX7z3r
(c)Miradi ambayo Iko Mbioni kuanza ni
-Upanuzi wa Barabara ya njia 4 kutoka Mwanza CBD Hadi JPM bridge (lot 1 km 25),CBD-Usagara Jnct km 25.
-Ujenzi wa mgodi mkubwa wa Madini ya Dhahabu Nyanzaga
-Upanuzi wa Barabara kuu ya Musoma kuwa njia 4
-Upanuzi wa Barabara kuwa njia 4 kutoka Usagara-Shinyanga Border
-Kamanga-Katunguru-Sengerema km 3.
-Upanuzi kuwa njia 4 wa Barabara ya Mwanza-Nyanguge km 35.
-Mwanza Airport-Igombe-Kayenze-Nyanguge km 46
-Mkuyuni-Mahina-Nyakato km 10
-Nyakato(VETA)-Buswelu-Mhonze km 18.
View attachment 3127876
My Take
Hiyo ni Baadhi tuu ya miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Samia huko Mwanza.
Kiufupi Samia ameiheshimisha Mwanza kushinda Shujaa waliyedai Anapendelea Kwao.
Kazi Iendelee.CC Nyanduzy , @feke b kidume
[URL unfurl="true" media=
View attachment 3128482View attachment 3128483View attachment 3128484View attachment 3128485View attachment 3128486
Tofautisha 2,3 na 4.
Wapi nimesema hawakufanya kitu? Unakurupuka
🚮🚮🚮🚮 Kwa hiyo Magufuli aliwaletea mbegu?Hahaha sisi wa kanda ya ziwa tunafahamu Bila Magufuli hata mbegu za pamba wangepeleka Zanzibar. Kura zetu labda mzinunue, hatupigii kura raia wa kigeni.
uchoHujui kitu wewe,watu wanakula ushuru na tozo za Halmashauri zinajenga Barabara ,mfano huu hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBQbkm3iagB/?igsh=M3c2a3l2eGh4dnhu
Mwanza ni Mji local na maskini sana.Fikeni level hizi ndio mje kushindana na Dom HQ 👇👇
View attachment 3131232
Uchochoro unaita barabara 😂😂😂, Milioni 400 haiwezi kujenga hata nusu kilomita ya barabara bali inajenga vichochoro vya mitaa huko.Hujui kitu wewe,watu wanakula ushuru na tozo za Halmashauri zinajenga Barabara ,mfano huu hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBQbkm3iagB/?igsh=M3c2a3l2eGh4dnhu
Mwanza ni Mji local na maskini sana.Fikeni level hizi ndio mje kushindana na Dom HQ 👇👇
View attachment 3131232
Kuna mada ya Mwanza vs Dodoma,Mwanza vs Arusha nenda ukachangie Ili tukupe za uso.ucho
Uchochoro unaita barabara 😂😂😂, Milioni 400 haiwezi kujenga hata nusu kilomita ya barabara bali inajenga vichochoro vya mitaa huko.
ushuru kausha damu unakula watu watu hawali ushuru, serikali kuu iliweka kwenye miamala ya kifedha nchi nzima mkapiga yowe, sasa huko dodoma ambako wahana mchango wowote kwenye pato la taifa wameweka kwenye bamia na nyanya chungu ndo maana wanazidi kuzalisha omba omba na milembe wodi zinatanuliwa sababu vichaa wanaongezeka sababu ya hali mbaya ya uchumi.
Aliyeleta mambo ya Arusha na Dodoma hapa nani!?Acha kuleta vichekesho vya kipuuzi basi.
Mwanza imepigwa na Dodoma na Arusha ,,umbele wa Mwanza ni idadi ya watu tuu.
Mada zako unajichafulia mwenyewe, ukiona tu Mwanza inazungumziwa jinsi inavyopaa kiuchumi na maendeleo lazima upate mchecheto wa kutaja Arusha, Mbeya, dodoma, njombe, nk ili kufariji nafsi yako dhidi ya chuki yako kuu juu ya mwanza, Magufuli na wasukuma, Dodoma yenyewe uliyoanza kuisifia juzijuzi hapa ni jitihada za hayati magufuli unayemchukia.Kuna mada ya Mwanza vs Dodoma,Mwanza vs Arusha nenda ukachangie Ili tukupe za uso.
Huku unachafua mada yangu.
Kwa SSH Kila goti litapigwa Kwa shangwe na shujrani.Mada zako unajichafulia mwenyewe, ukiona tu Mwanza inazungumziwa jinsi inavyopaa kiuchumi na maendeleo lazima upate mchecheto wa kutaja Arusha, Mbeya, dodoma, njombe, nk ili kufariji nafsi yako dhidi ya chuki yako kuu juu ya mwanza, Magufuli na wasukuma, Dodoma yenyewe uliyoanza kuisifia juzijuzi hapa ni jitihada za hayati magufuli unayemchukia.
Samia amefanya zaidi ya Shujaa 👇👇Aliyeleta mambo ya Arusha na Dodoma hapa nani!?
ITHiyo miradi hapo Juu nimeitaja ni nyie mnajipigania wenyewe Kwa pesa zenu?
Unadai hakuna Vyuo vya Kati vya Ufundi au Vyuo Vikuu wakati hujui chochote licha ya kuishi huko Mwanza.
Ardhi University (Sengerema) sio Chuo Kikuu?
DIT,Misungwi CDTTI,CBE,TIA,Mipango,Ukiriguru,Mabuki,Butimba,Pansiansi nk sio Vyuo vya Kati ?
Punguza povu lisilo na msingi ,eti Uchaguzi ukiisha inaachwa 🤣🤣🤣🤣
Maendeleo hayafanyiki Kwa sababu za uchaguzi,ni wajibu wa Serikali kuleta maendeleo Ili kukuza Uchumi wa watu na Nchi.
Mwisho ulitakiwa kusoma mada yangu mradi Kwa mradi harafu uje hapa kusema hakuna eg unadai hakuna hospital ya Rufaa wakati unajua kabisa Ukerewe inajenga Hospital ya Hadhi ya Mkoa au Arusha Kuna Hospital ya Rufaa ya Serikali?
Wewe Jamaa ni mzima kweli? Kukaa jirani na mahaka ndio kujua sheria?CBE,DIT,TIA,Ardhi university nimesort hivyo hayo ni makaratasi ndugu yangu (draft), MWANZA natembea kila siku huku napajua,umetaja ukiriguru,pale wanatunuku shahada au astashahada tuanzie hapo kwanza, punguza chumvi kwenye habari zako,si mchukii SSH ,Bali naonesha tu uhalisia,CDTI iliyoko mwanza inatunuku tunu sawa na CDTI ya pale TENGERU?
IT