Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize

Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you

Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu
 
Asubuhi yote hii unaamka kuja kumponda anaejitahidi kutafuta riziki yake,unajitofautishaje na mchawi.??
Hajamuibia mtu wimbo.
Hujamchangia chochote.

Just enjoy the music,just listen,huna haja ya kuwa mchambuzi wa muziki.

Sikiliza seduce me,sikiliza Hallelujah,sikiliza nyimbo zote zitokazo,then enjoy life vile umepata nafasi ya kusikiliza good music.

Hujui muziki ni dawa ya roho kijana.
 
Sijawahi ona KIJANA MCHAWI aseee.Yan anajaribu kutuaminisha seduce ni kali???Au kwa sababu ya promo ya fiesta??Pita mitaa ya kawaida kabisa afu sikiza ni nyimbo gani inahit??
[HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Afu kwa sasa hakuna nyimbo bora zaidi kwa mwaka huu kama...endeleeni kujipa moyo wakati mnazidi kuumia moyo. [HASHTAG]#hallelujah[/HASHTAG].Labda uwe na tabia za mwanamke wa kiswahili kupiga kila zuri.
 
Tukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.

Unajitekenya then unacheka! Mliiponda sana zilipendwa ila number aidanganyi, kaangalie views You tube nani anakimbiza! Mnapenza nyimbo za mwanaume kujisifia Mara ana magari, anajua kuonga! Mara sijui anaitwa nani! Ujinga tu
 
Mitaa ipi hiyo unayoongelea? Au wewe unadhani mitaa unayoishi ndio Dunia nzima? Mwambieni huyo domo alionesha Udhaifu mkubwa Sana kutoa linyimbo siku Kiba katoa Seduce me.
 
Wanajitekenya wanacheka wenyewe kitaani zilipendwa inakimbiza YouTube ndo usiseme. Hallelujah inakimbilia 2M viewz alafu analeta story za sungura na fisi.
 
Unajua tofauti ya YouTube kawaida na VEVO? kaangalie Mastaa Wa kweli wako wapi Na ma underground wako wapi. Domo kakomaa YouTube kawaida kwa sababu kule unanunua views.
 
Wanajitekenya wanacheka wenyewe kitaani zilipendwa inakimbiza YouTube ndo usiseme. Hallelujah inakimbilia 2M viewz alafu analeta story za sungura na fisi.
Domo yuko YouTube kawaida na Alikiba yuko VEVO, mwambieni Domo kama anataka kushindana views aje VEVO waliko mastaa Wa kweli.
 
Mond yuko kazini yeye ndio anajua zinamlipa au vipi,wewe sikiliza kama hutaki kalale sio kuropoka
 
Huu wimbo mtam hatari! Unavutia hasa kwenye sweet reggae pale gitaaa inapoanza uwiiii taaaaammmm
 
Mitaa ipi hiyo unayoongelea? Au wewe unadhani mitaa unayoishi ndio Dunia nzima? Mwambieni huyo domo alionesha Udhaifu mkubwa Sana kutoa linyimbo siku Kiba katoa Seduce me.
Anaebishana na ww hana akili.Koment zako tu unaonesha huna uelewa.Akili zako ziko kwenye papuchi ya mange mkuu...ila huu msumari umewachoma kotekote
 
Mitaa ipi hiyo unayoongelea? Au wewe unadhani mitaa unayoishi ndio Dunia nzima? Mwambieni huyo domo alionesha Udhaifu mkubwa Sana kutoa linyimbo siku Kiba katoa Seduce me.
Anaebishana na ww hana akili.Koment zako tu unaonesha huna uelewa.Akili zako ziko ziko kwenye WIVU,MAJUNGU KUTOKUBALI KUSHINDWA.
Zilipendwa imewaua afu hii imekuja kuwazika rasmi.Afu ukumbuke sie hatutegemei kubebwa na fiesta
 
ndio umeandika nn,,,,acha chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…