Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

Wanaume tumebakia wachache sana....hizi chuki zote za nn....madhara ya kushikwa takoooo na wanaume haya
 
Tafiti mpya ya twaweza inasema asilimia kubwa ya watanzania ni wachawi.mmoja wapo wewe.
 
Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize

Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you

Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu
Usijali nitamfikishia dukuduku lako
 
Tukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.
So mwaaaaaa
 
Yani wabongo wengine sijui ni wakolomije yani akili zao kama za kuazimwa mond level nyingine kabisa huwez mfananisha na kiba..

Pesa anayoipata mond kupitia mziki ni sababu kubwa jamaa yuko vizur huyo kiba toka nimfahamu sijawahi sikia kama ana majengo mkali, gari ya kafahali, hata biashara nina walakin...
 
Mwanaume anajiita Kipusa, sisi kipusa ni kitu cha kukumbatiwa.
 
Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize

Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you

Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu
MCHAGA NA MUZIKI WAPI NA WAPI? NENDA KANYE HUKO...
 
Asubuhi yote hii unaamka kuja kumponda anaejitahidi kutafuta riziki yake,unajitofautishaje na mchawi.??
Hajamuibia mtu wimbo.
Hujamchangia chochote.

Just enjoy the music,just listen,huna haja ya kuwa mchambuzi wa muziki.

Sikiliza seduce me,sikiliza Hallelujah,sikiliza nyimbo zote zitokazo,then enjoy life vile umepata nafasi ya kusikiliza good music.

Hujui muziki ni dawa ya roho kijana.
[emoji106]
 
Back
Top Bottom