Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize
Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you
Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu