Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

Una akili fupi sana. Kusema ukweli.
 
Ahahaha wabongo bhana wakiwa na stress za madem tu hutunga nyimbo ambazo hazieleweki hata huyo alpha blondy alieimba halleluyah alimtaja mungu na kumsifia ila huyu jamaa mwenye stress za kuzaa ovyo kma mbwa anatunga tunga tu na kuimba imba tu
 
Mtu mwenye jinsia ya kiume akianza kuvaa mawaigi ni ishara mbaya sana
 
Ahahaha wabongo bhana wakiwa na stress za madem tu hutunga nyimbo ambazo hazieleweki hata huyo alpha blondy alieimba halleluyah alimtaja mungu na kumsifia ila huyu jamaa mwenye stress za kuzaa ovyo kma mbwa anatunga tunga tu na kuimba imba tu
Haituhusu sisi..... Tunaaangalia good music mengine ni shida zao pambana na hali yako
 
mmmh,mmmh,,mmmmh ivi ulivoamka ulinawa uso kwel ndio ukatoa maada usije ukawa unaona mapichapicha ya mange kimambi!!
 
Si Shangai sana kama mnaweza kuifananisha simba sc na manutd fc lakin roho mbaya azkupeleki mahala
 
hivi we ndugu kitaulo umeshamaliza kujichubua? maana point zako ni za wanaojichubua tu no sense making. unavosema izo nyimbo zimeshindwa kufanya vizuri unamaana gani labda?
embu kaimbe wewe basi tuone izo zako labda zitafanya kifo cha mende. inashangaza sana kuona kidume kizima ukute una na vindevu vya kulazimisha umefuga tangu adolee alafu unachukia hustle za mwanaume mwenzako.
sa we subiri wenzako wafight we udis. mwisho wake ni wotetunaujua *BABYCARE* au *VASELINE*
NAWASILISHA
 
Tukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.
kwani mmeo yule ndo uone cha maana kwake? ndo maana akawepo Mond na kiba. kama unamskiza kiba we mskize ila sio kuamka asubuhi aubuhi kuponda wanaume wenzenu. ivi waneno jana usiku walikla hata kweli au mliwalaza njaa?
Oh sorry nimesahau kumbe bado mnakula kwa baba zenu hata maisha hamjayajua.
 
Domo yuko YouTube kawaida na Alikiba yuko VEVO, mwambieni Domo kama anataka kushindana views aje VEVO waliko mastaa Wa kweli.
Kwani Mary you ipo YouTube kawaida au VEVO?na ina viewers wangapi adi sasa?
 
Hawa ndio watanzania bwaaaaaaana, kutwa vibarazani. Kuyasema ya watu wakati ya kwao yanawashinda
 
Tukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.
Wew huwez mwelewa mondi wew unaowaelewa ni akina msaga sumu tu wazee wa singeli
 
Timu D wala K hazitusaidii,pambana na hali yako
 
point kubwa ni kutoka masikioni au akilini haraka

ndio maana, cinderela, mac muga, n.k zinabaki zinaishi

ndio maana mbagala, kamwambie zinaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…