Kipa kafanya kosa la kawaida la kibinadamu. Kafanya saves za muhimu ambazo hata hao tunaoaminishana wasingefanya. Anayesema kipa shati atupe takwimu za kipa mzuri wa Simba alivyoenda Zambia matokeo yalikuwaje. Mpira una mambo mengi sana hasa ukiwa ugenini, ndo maana Horoya anampiga Simba 1 bila kwake ila kwa Mkapa anakula 7 ndani ya wiki moja