Wewe ni unafahamu mpira..! Wengi siku hizi wanaongozwa na hisia tu. Sijaona kosa la golikipa pale, mpira umedunda ule. Kipa yeyote anafungwa
Sasa mlitaka mpira usidunde?Kipa kadaka vizuri tuu goli kafungwa ni makosa madogo tuu ambayo yameanzia kwenye marking,deflection na mpira kudunda
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Wivu wa kike huuSio kipa pekee, Simba imesajili magarasa kibao, miquissone, onana, ngoma, kramo, che Malone hayo yote ni magarasa. Kiufupi Simba ni kikundi cha wauza ngada tupu
Shida ya Tanzania kila mtu kocha mhasibu mwanasheria wakala daktari mwanasaikolojia mtabiri. Hatuheshimu kabisa taalumaHujui mpira wewe. Unatoa conclusion kwa mchezaji ktk game moja? Huko mazoezini unajua alimshawishi vp kocha? Ninachoona mm robatinyo hajui kuipangilia vzr mifumo ya timu so far wachezaji wanatunia uwezo wao binafsi.
Wakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
WamepanikiBadala ya kuwalalamikia kina baleke waliokosa nafasi za wazi wazi,mnataka kumfanya kipa kuwa mbuzi wa kafara.
Hahaha hebu weka picha tumuoneWakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shida ya Tanzania kila mtu kocha mhasibu mwanasheria wakala daktari mwanasaikolojia mtabiri. Hatuheshimu kabisa taaluma
Malizia kabisa kwa kusema "makundi tutatimba! ila na safari yetu nayo msimu huu, ndiyo itaishia hapo"!!!Kipa hana tatizo, timu nzima inahitaji kuwa serious.
So far this is football wapunguze makosa, makundi tunatimba.
Bora haya yameonekana ugenini ili wayasahihishe kabla ya marudiano
Inauma sana!Wakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
huyo ni kipa mkubwa sana acha upuuziWakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
FactHujui mpira wewe. Unatoa conclusion kwa mchezaji ktk game moja? Huko mazoezini unajua alimshawishi vp kocha? Ninachoona mm robatinyo hajui kuipangilia vzr mifumo ya timu so far wachezaji wanatunia uwezo wao binafsi.
Simba toka wapigwe 2 za chapchap na Mtibwa nilijua hakuna ukuta kabisa 🤔Kipa hana tatizo, timu nzima inahitaji kuwa serious.
So far this is football wapunguze makosa, makundi tunatimba.
Bora haya yameonekana ugenini ili wayasahihishe kabla ya marudiano