Kocha wenu mpya amepitia timu tofauti tofauti 12.
Je kama ni kocha Bora ametwaa taji gani ndani ya hizo timu 12 alizopitia?
Lopetegui alipokuja Real Madrid akamkuta huyu mwana.
Akaandika barua kwa rais ili jamaa asepeshwe mara moja Jamaa hakumaliza miezi 3 akafukuzwa.