demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Zoran Manojlović
Ndio jina la Kocha Mpya Wa Simba SC, Yes Baada ya Kumaliza Kupitia File lake Nimegundua kuwa Msimu Ujao unaenda kuwa msimu mwingine mzuri kwa WanaJangwani.
Kutokana na Rekodi zake Huyu Babi Bado hajafikia hata nusu ya Mafanikio ya Kocha Nasreddine Nabi.
Huyu mzee Zoran Manojlović hajawahi kumaliza msimu mmoja kwenye klabu moja.
Mara nyingi amekuwa akifukuzwa au kuomba kuondoka mwenye pale anapoona Majinyamezidi Unga.
Belouizad CR walimfukuza kwa sababu licha ya kuisaidia klabu kutwaa Kombe, Klabu ilikuwa ikicheza mpira kama MajiMaji FC.
Huko Al Tai nako wakamfukuza kutokana alinusurika kuishusha daraja hiyo klabu.
Mmeamua kucheza kamali katika hili watani zangu. Ndio maana mlikuwa mnavizia Mkataba wa NABI uishe ili mumlaghai.
Alipowajibu kuwa halamaliza kilichompeleka Yanga ndio mkaamua liwalo na liwe ngoja tujaribu na huyu.