Kwa huyu Kocha mpya Simba SC mmepigwa tena, mjiandae kisaikolojia kukosa mataji msimu ujao

Unajua mashabiki na watu wengi wa mpira hapa bongo ni wajinga sana.

Hii ligi nmataka kuikuza tu lakini kiuhalisia bado ni ndogo sana, Nabi kafukuzwa Merrekh na team nyingine kubwa lakini kaja hapa mnamuimba kama malaika, wachazaji wengi wa nje wanaotamba hapa ni REJECT wa team kubwa huko (kama kuna anabisha akanushe kwa ushahidi), wachezaji wetu wa ndani ndo viazi kabisa.

Ligi yetu ni ndogo na nyepesi sana kwahiyo sio ajabu akapeform vizuri hasa ukizingatia analijua vizuri soka la Africa na alishabeba hata ubingwa kwenye ligi ngumu akiwa na CR Beulzidad ambayo ni team ya kawaida na team nyinginezo kubwa.

Kikubwa apewe ushirikiano na asajiliwe wachezaji wazuri wenye viwango ili kibarua chake kiwe chepesi huko kimataifa na hapa ndani.

Naambatanisha na picha ndogo ya mnayeamini kuwa ni kocha mkubwa sana.View attachment 2275909
umenena vyema
 
Hapa wana yanga wana jifanya kukosoa kocha wa Simba hii CV ya huyu mtunisia wanajifanya hawaioni kibaya hafi wachambuuzi. Wetu pia hawaoni
 
🗣️Huyo kocha wenu Tafadhali hakikisheni mmemwambia Kuwa anakuja kumfundisha Nyoni maana zaa ndaaaani kabisa mlimpa video za Feisal na Mayele ndo akasaini ila akija kujua mlimdanganya mi sihusiki🗣️
Hata haya huna. Mwanaume kuandika upuuzi wa hivi ni hasara kwa taifa..
 
Taifa halihitaji faida yoyote kutoka kwangu ila Mama yako pekee ndio anahitaji faida kutoka kwangu kwa namna ninavyo mridhisha kwenye tendo la ndoa

Niheshimu kama Baba yako
 
Huna point ukiona mtu anakimbilia matusi ya wazazi huwa namuona hana kitu kichwani. Ni attack mimi
 
Sina cha kuattack ww zaidi ya Mama yako ila labda nikianza kuichimba na Mbususu yako ndio nitakuwa na jambo la kukuzungumzia......Leta mbususu yako hiyo niishi nayo
 
(Zoran Manojlavic)🗣:Honestly i'm just a forklift driver , i was suprised seeing Simba SC approaching me with a coaching job
 
Zoran Manojlović

View attachment 2275832

Ndio jina la Kocha Mpya Wa Simba SC, Yes Baada ya Kumaliza Kupitia File lake Nimegundua kuwa Msimu Ujao unaenda kuwa msimu mwingine mzuri kwa WanaJangwani.

Kutokana na Rekodi zake Huyu Babi Bado hajafikia hata nusu ya Mafanikio ya Kocha Nasreddine Nabi.

View attachment 2275836

Huyu mzee Zoran Manojlović hajawahi kumaliza msimu mmoja kwenye klabu moja.

Mara nyingi amekuwa akifukuzwa au kuomba kuondoka mwenye pale anapoona Majinyamezidi Unga.

View attachment 2275841
Belouizad CR walimfukuza kwa sababu licha ya kuisaidia klabu kutwaa Kombe, Klabu ilikuwa ikicheza mpira kama MajiMaji FC.

Huko Al Tai nako wakamfukuza kutokana alinusurika kuishusha daraja hiyo klabu.

Mmeamua kucheza kamali katika hili watani zangu. Ndio maana mlikuwa mnavizia Mkataba wa NABI uishe ili mumlaghai.

Alipowajibu kuwa halamaliza kilichompeleka Yanga ndio mkaamua liwalo na liwe ngoja tujaribu na huyu.

,
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Watu mlisema hapa
 
Mwanzoni nilifikiri Luc Eymael kuwaita Manyani ni uonevu. Kumbe alikuwa sahihi. Nyie kila kitu ni kubweka tu hata kwa jambo usilolijua.

Haya ebu twambie kisa cha Nabi kuja Yanga ni nini kama siyo kufuruhushwa na El merehk baada ya kipigo cha goli 4 , 1 Dar na sare ya 0, 0 katoum dhidi ya simba klabu bingwa Afrika.
Manyonyo bana
 
Back
Top Bottom