Kwa huyu Kocha mpya Simba SC mmepigwa tena, mjiandae kisaikolojia kukosa mataji msimu ujao

Super Coach......Huyu kocha huwa anapenda kutumia formation ya bila Goalkeeper: 2-3-3-3

Simba watachukua CAFCL
 
Nawasalimu Kwa jina la Young Africans."

"Ndugu zangu huyu mmempima Sukari yake? Presha je? Mchekini na Kifaduro pia, huku kuna kina Mayele nyie."

"Mmemtoa Kijana Mmadrada,,Sasa mmeleta Mtu ana miaka milioni,,Mnawatafuta muhali kina Key na Ben, mimi nawaasa tu."

"Akifika October mtanistua."
 
Awajaleta kocha, wameleta kichaka Cha uongozi kujificha na kutupia lawama.
 

Yanga wamefungua chuo cha ujinga na kila mwezi kinatoa wahitimu mia tano naona nyuzi za kijinga zinaongezeka kwa kasi ya 5G hapa jukwaani
 
Maake kwanza nicheke 😂.Kama atafika hadi mwezi October njooni mnikate mkono🤣.

👉Akiwa Morroco klabu ya Wydad Ac alianza kazi taehe 20.7.2019 na tarehe 13.1.2020 Akafukuzwa kazi😂alidumu kwa miezi 6 tu.

👉Akiwa Sudan Al Hilal alianza kazi tarehe 23.10.2020 na tarehe 2.3.2021 Akafukuzwa kazi 😂 alidumu kwa miezi minne tu.

👉Akiwa Algeria CB Belouizdad alianza kazi tarehe 1.5.2021 na tarehe 27.8.2021 wakamfukuza kazi alidumu kwa miezi mitatu tu🤣.

👉 Akiwa Uarabuni Al Tal alianza kazi tarehe 29.8.2021 na tarehe 7.11.2021 wakamfukuza kazi alidumu kwa miezi 2 pekee 🤣.

NB: Nawaambia Kama atafika mwezi October njooni mnikate mkono 🤣
 
🗣️Huyo kocha wenu Tafadhali hakikisheni mmemwambia Kuwa anakuja kumfundisha Nyoni maana zaa ndaaaani kabisa mlimpa video za Feisal na Mayele ndo akasaini ila akija kujua mlimdanganya mi sihusiki🗣️
 
Hili ni hitimisho. Uzi uishie hapa kuficha ujinga wa wana Yanga. au hapa wako field
Uzi wa takwimu Kibu D Vs Mayele na Try again kupindua meza kwa Ki Aziz ni moja nyuzi za kiboya kuwahi kutokea Jf na zililetwa na KoloWizard hapa .
 
unajadili mada gani?
Najadili mada hii maana kuna watu wanamshambulia mtoa mada na Yanga kuwa wana nada za kipuuzi sasa nilichofanya ni kukumbusha moja Kati ya nyuzi za kiboya zilizowahi kuletwa na makoloz hapa Jf
 
Weka na nabi hapa
 
Mkuu hapa umeongea ukweli 70% Ila hata ukiongea ukweli 100% still Makolo watakuja kukupinga tu..
Yanga ni Bingwa Hadi 2030
 
kocha mpya wa simba ni hatari nasikia anaweza kupangakikosi bila kipa na akashinda,atafanya kibu denis awe kama messi,boko boko kama lewandowski na mhilu kuwa kama mane[emoji16][emoji16]
Yaani mwandiko wako tu unaonyesha jinsi gani ulivyolegea. Acha tabia hiyo mtoto wa kiume. Umbea haukuishi kama mke aliyeachika!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…