round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa kujua kwamba Dube ni lazima apangwe licha ya ubovu wake, hadi afunge goli basi kakosa nafasi kibao za wazi, ana shine zaidi akicheza na timu level za Kengold
Azizi Ki kawa mdau mkubwa wa kujivinjari na pisi kali, Uwezo wake uwanjani umepungua