Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni

Au ndio anatuonyesha ile historia yake aliyosema haitaji kujieleza ili ajilipue?
Ulishatuambia huhitaji kujieleza sana, sasa kwanini leo unajieleza sana? Au unafikiri kuna watu wamesahau wanahitaji kukumbushwa umuhimu wako?
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Wananchi tunataka kusikia huo uamuzi hatutaki hizo bra braa unatupotezea muda ndugu muheshimiwa Mwenyekiti.
Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni

Au ndio anatuonyesha ile historia yake aliyosema haitaji kujieleza ili ajilipue?
Ulishatuambia huhitaji kujieleza sana, sasa kwanini leo unajieleza sana? Au unafikiri kuna watu wamesahau wanahitaji kukumbushwa umuhimu wako?Pia soma:
Pre GE2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
Wananchi tunataka kusikia huo uamuzi hatutaki hizo bra braa unatupotezea muda ndugu muheshimiwa Mwenyekiti.