Pre GE2025 Kwa huzuni aliyokuwa nayo Mbowe inaonesha anaenda kuachia ngazi akiwa na uchungu sana, kwa kulazimishwa ila si mapenzi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya yote tunayoyasikia xaxa huh. Mkt Mbowe tuxingeyaskia angekbali kupumzika na kuachia damu mpya uongozi. Angepumzika akiwa na ushujaa wake kw CDM kuwa chama kikuu cha upizani ktk kipindi chake. Lkn xaxa anaxabbsha kutokea upinzani na maharufu ya hovyo ndn ya chama ambayo wtu wengi walikua hawayajui. Hata akishinda, sifa zake mpya ztahusishwa na mixaada toka kw mama na ccm yake- nami xidhani kushuka au kuharibu jina la chama kikuu cha upinzani, kutajenga zaidi jina lake. Atalinganishwa na viongozi wengine wanao husishwa na uchawa ktk chama twawala- sio tena yule "Mwamba" tulie mjua na kumweka ktk nyimbo za "kumtukuza". Wataxema "kwisha habari yake" na suala la "kulambishwa asali" itaonekana kuwa kweli, hakusingiziwa. Kama vile umaarufu umeingia kichwani naye anaogopa kutokua maarufu ...nk
 
Usifanye mchezo na kitu kinaitwa TONGE 😀 😀
 
Post ikishaanza na "inaonesha" tu inakuwa imeanza kinyonge sana. Kama habari ni ya kuungaunga, haina uhakika, ya tetesi tetesi zisizoweza kuhakikishwa.

Post za hivyo inaweza kuwa poa kwenye habari za udakuudaku, lakini kwenye mambo ya siasa za nchi zinatakiwa post za kibabe zenye kuweza kutetewa na facts.
 
Ni anaondoka ama anaondoshwa?. Sini ametangaza kugombea tena?, mtu ambaye anaondoka Chadema kwa huzuni sasa ni TL ,Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Hii ni kufuatia Chadema wengi kuwa na akili za mnyama nyumbu, unless kama akili za unyumbu zitawatoka akili za ubinadamu zikawarudia, wakatambua kuwa baada ya mtu kuwaongoza kwa miaka 20, hawezi kuwa na jipya lolote, hivyo kama ni kweli wanataka kushika dola 2025, mtu wa kumchagua ni TL!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…