cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hatari tupuu.Wanaomchagua ndio wapumbavu,yeye anatafuta wa kuwapumzikia wampe faraja uzeeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari tupuu.Wanaomchagua ndio wapumbavu,yeye anatafuta wa kuwapumzikia wampe faraja uzeeni.
Kwani jimbo lake la zamani harudi tena?Nyoka wa makengeza
Kuleni hela za sadaka kutoka kwa Gwajima lakini ubunge ndio bye bye! Angekuwa na akili angefanya kurudi kwao usukumani wakapambane na zero brain Bashite.Na huyo mjusi wa macho kumchuzi ndo akipita bas atawa tengenezea barabarw? Kumbe huijui siasa ya Bongo lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usitutishe usitutisheHalafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.
Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.
Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.
Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
Sashindano ya rede yashaishi?Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Atuage tu.
Naunga mkono hoja. Huyu mzinzi anayejifanya mjasiamali wa Biblia arudi kanisa lake la ufufuo na uzima. Sijui alishindwaje kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa bure lwa kumuibia kura Halima MdeeHalafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.
Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.
Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.
Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
Ndugu, yani kwa ufupi Gwajima hakubaliki popote! Mimi naishi katika jimbo lake! Amekuwa m-bunge tapeli asiyetimiza ahadi zake! Tembelea Madale, Bunju, Mbopo, Mabwepande kisha uliza habari zake!Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.
Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.
Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.
Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
Wanasemaga joka la makengedhaa.V. G. Cent
special mental caseUna AKILI sawasawa Kichwani mwako?
When are you going to treat me please?special mental case