Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

Na huyo mjusi wa macho kumchuzi ndo akipita bas atawa tengenezea barabarw? Kumbe huijui siasa ya Bongo lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuleni hela za sadaka kutoka kwa Gwajima lakini ubunge ndio bye bye! Angekuwa na akili angefanya kurudi kwao usukumani wakapambane na zero brain Bashite.
 
Usitutishe usitutishe
 
Naunga mkono hoja. Huyu mzinzi anayejifanya mjasiamali wa Biblia arudi kanisa lake la ufufuo na uzima. Sijui alishindwaje kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa bure lwa kumuibia kura Halima Mdee
 
Ndugu, yani kwa ufupi Gwajima hakubaliki popote! Mimi naishi katika jimbo lake! Amekuwa m-bunge tapeli asiyetimiza ahadi zake! Tembelea Madale, Bunju, Mbopo, Mabwepande kisha uliza habari zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…