KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la muda kabla ya kampeni ya TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO kuanzishwa nayo itaizika kabisa kampeni ya CHADEMA kwa sababu mabadiliko yanakuja na yataletwa na CCM na yataletwa kupitia kushiriki uchaguzi Mkuu
Mimi na familia yangu TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO