KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Ndio mlivyoelekezwa kutoka kwenye kikao chenu hapo Dodoma kwa hoja zipi?Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la muda kabla ya kampeni ya TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO kuanzishwa nayo itaizika kabisa kampeni ya CHADEMA kwa sababu mabadiliko yanakuja na yataletwa na CCM na yataletwa kupitia kushiriki uchaguzi Mkuu
Mimi na familia yangu TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO
TUMEWACHOKAAcha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la muda kabla ya kampeni ya TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO kuanzishwa nayo itaizika kabisa kampeni ya CHADEMA kwa sababu mabadiliko yanakuja na yataletwa na CCM na yataletwa kupitia kushiriki uchaguzi Mkuu
Mimi na familia yangu TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO
CcAcha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la muda kabla ya kampeni ya TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO kuanzishwa nayo itaizika kabisa kampeni ya CHADEMA kwa sababu mabadiliko yanakuja na yataletwa na CCM na yataletwa kupitia kushiriki uchaguzi Mkuu
Mimi na familia yangu TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO
Ccm haijawahi kuwa na ilani mbaya abadani.Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la muda kabla ya kampeni ya TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO kuanzishwa nayo itaizika kabisa kampeni ya CHADEMA kwa sababu mabadiliko yanakuja na yataletwa na CCM na yataletwa kupitia kushiriki uchaguzi Mkuu
Mimi na familia yangu TUTASHIRIKI UCHAGUZI KULETA MABADILIKO
Kwa kuwa ni moja ya mmyonga haki lazima uote hiyo ndoto ama?Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.