Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Bendera ya mfadhiriNikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii
Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.
Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu .
Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. the paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.
Debet zenyewe wanafunzi wana gawanywa pande mbili kisha wanaambiwa nyinyi wa huku teteeni ushoga na nyinyi wa huku pingeni ushoga hivyo kuto kumjenga mtu kutetea kile anacho kiamini binafsi maana unalazimika kutetea ushoga hata kama utaki ...huo ndiyo mfumo wa debet nilivyo ushuhudia mashuleni toka zamaniNikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii.
Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.
Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu.
Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. The paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.
nikikumbuka debate za enzi zangu roho inaniuma ,hawa vijana wale chips tu hakuna namnaDebet zenyewe wanafunzi wana gawanywa pande mbili kisha wanaambiwa nyinyi wa huku teteeni ushoga na nyinyi wa huku pingeni ushoga hivyo kuto kumjenga mtu kutetea kile anacho kiamini binafsi maana unalazimika kutetea ushoka hata kama utaki ...huo ndiyo mfumo wa debet nilivyo ushuhudia mashuleni toka zamani