kunguni masta
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 142
- 179
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano Mimi Kuna kesi nimeenda kumdhamini mtu anadaiwa kiasi kisichazidi mil 1 Nina barua anayonitambua mtendaji wa Kijiji, pia Kuna mtumishi wa serikali anakitambulisho Cha kazi wote tumeoneka hatuna vigezo vya kumdhamini mtuhumiwa Sasa sisi tukimbilie wapi kwani mtuhumiwa alipelekwa mahabusu unaona kabisa hakimu nae ni mlalamikaji wa kesi, hakimu aendesha kesi huku anakula chipsi alizoagiziwa na aliefungua kesi na anamuagizia mbele yenu hizo chipsi mayai na anawaambia mnaedhamini lazima aende magereza!!
Na kweli hatimae anaenda magereza, hii nchi inaenda wapi nduguzangu narudia Tena hii nchi inapelekwa wapi!!? Hata kama mnadharau hiyo mamlaka ya nchi Sasa imepitiliza!! MH Jaji mkuu kwanza hao walio mkopesha ni hao huyo mtuhumiwa ni hao kausha damu ambao dhamana Yao ni kadi ya benki na uhakika benki kuu haiwatambui pamoja na ujinga wangu naomba Sana ujinga huu usiachwe ukitamalaki.