Kwa Jaji mkuu Tanzania

Kwa Jaji mkuu Tanzania

Hiko hivi kwa Sasa hawa kausha damu wamebuni mbinu ya wizi kwa kuwatumia mahakimu wahuni kama huyo anaemtaja mleta mada hapo ananyimwa dhamana anenda magereza Alafu kama alikopa lakiTano alafu wale kausha damu wanampanga alipe na riiba million 15.wanamsainisha kibabe mwisho wa siku hakimu anapewa Asante yake
Kwa hiyo hao mahakimu kesi za madai wao wanazigeuza zinakua kesi za jinai!? Huo ni uhuni wa kiwango cha juu sana wanachofanya na inabidi wachukuliwe hatua za kinidhamu na kimaadili!!
 
Hiko hivi kwa Sasa hawa kausha damu wamebuni mbinu ya wizi kwa kuwatumia mahakimu wahuni kama huyo anaemtaja mleta mada hapo ananyimwa dhamana anenda magereza Alafu kama alikopa lakiTano alafu wale kausha damu wanampanga alipe na riiba million 15.wanamsainisha kibabe mwisho wa siku hakimu anapewa Asante yake
Shenzisanaaa
 
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,

Kwa mfano Mimi Kuna kesi nimeenda kumdhamini mtu anadaiwa kiasi kisichazidi mil 1 Nina barua anayonitambua mtendaji wa Kijiji, pia Kuna mtumishi wa serikali anakitambulisho Cha kazi wote tumeoneka hatuna vigezo vya kumdhamini mtuhumiwa Sasa sisi tukimbilie wapi kwani mtuhumiwa alipelekwa mahabusu unaona kabisa hakimu nae ni mlalamikaji wa kesi, hakimu aendesha kesi huku anakula chipsi alizoagiziwa na aliefungua kesi na anamuagizia mbele yenu hizo chipsi mayai na anawaambia mnaedhamini lazima aende magereza!!

Na kweli hatimae anaenda magereza, hii nchi inaenda wapi nduguzangu narudia Tena hii nchi inapelekwa wapi!!? Hata kama mnadharau hiyo mamlaka ya nchi Sasa imepitiliza!! MH Jaji mkuu kwanza hao walio mkopesha ni hao huyo mtuhumiwa ni hao kausha damu ambao dhamana Yao ni kadi ya benki na uhakika benki kuu haiwatambui pamoja na ujinga wangu naomba Sana ujinga huu usiachwe ukitamalaki.
Hata Mimi yalinikuta,mke wangu alinipeleka mahakama ya mwanzo hapa Dodoma,Hakimu akanifanyia makusudi nikaenda magereza! Nashukuru Mungu sipendi kuonewa nilimpeleka mbele ya kamati,alinikoma Hakimu!
 
Back
Top Bottom