Kwa jambo hili ni lazima nawe utaguswa kama binadamu, kama Mtanzania Mzalendo

Credits?
 
Nashukuru sana umekuwa mwelewa....maana wengine haya mambo hawayafaham.gari za mzungu zinazingatia sana safety. Hilo wenzetu wanaangalia kwa makini.


Naunga mkono hoja...hayo magari ya mzungu kama huangalii speedometer unaweza kuhit 200kph bila kujua. Gari inakimbia lakini imetulia kiasi kwamba hujui kama uko mwendo mkali. Uzuri wake mwingine ziko vizuri kwenye braking.
 
Wewe kama hela huna inabidi upate aisee.
 
member mmoja wa JF alipoona akauliza. 'mbona hapo hujaweka ukuta umeweka likioo likubwa?" Nikamwambia hapana hiyo ni TV hapo tulikuwa room ambayo ni ya entertainment. Home Theater.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaah haha bongo sio pakuama
 
Nawezaje kufanya subscription ya vichekesho kama hivi?
Hakuna free trial mkuu?
 
" Mi nikitizama nje naona watu wameshika vichwa na kuachama midomo.nikasema hapa inawezekana corona imeathiri sana watu.so njiani huko wanadondoka tu kma wana mdondo.ndo maana wenzao wanashika vichwa na kuacha midomo wazi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] This part killed me softly
 
Wa Mikoani utawajua tu! aaah! eti ulifungua kioo?

Kamwe Huwezi endesha gari toka Oyster bay Via city centre mpaka Air port kwa speed hiyo ya 150km/hr, sijui Magomeni/Mandela ndo kabisaaa!! tena mida Pevu! zaidi Bila police Escort, Labda usiku tu ambapo hkn traffic jam!

Barabara zetu zote siku hizi zina warning sign board of speed limit za kisasa, weye ulikuwa unajiendea tu? ka chizi. nikusaidie bure tu ''Gari ikiwa chafu au nzee kamwe usitumie kiyoyozi mda mrefu ukiwa Dsm kwa sababu una uwezekano mkubwa kwako kupata ngwengwe!

sitaki kujua km weye ni mwana wa Dar. ndo maana ulifungua kioo!! au ulimaanisha kyooo? Maajabu ya mwaka! kwani hujasikia wanaDar wanasema laki si pesa? halafu hujui kuwa P/ Traffic siyo mtunza rist za fine za wapita njia!! nenda tena muombe Samahani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…