Ukishashondwa kesi ya CAS, kifuatacho ni kuwa mpole maana hakuna atakayekusikiliza tena dunianiBodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile.
Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
Siasa!Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile.
Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
Ndio maana hawezi kutoa chanzo cha kuahirisha mechi. Hawezi kusema ni maagizo kutoka juu, lakini tumeona namna watu wa juu walivyokwenda kukagua uwanja.Kuna wakati Hawa wakaina mnguto na karia wanapokea maagizo kutoka juu kuhusu mpira wetu,
Wewe ndio huyo wa kushoto uliyebana nywele?
Yaani mseme wenyewe HATUCHEZI, halafu mje mumuombe Mungu mcheze?Yanga itawashindia wote waliokandamizwa. Naomba Mungu Yanga wakubali kucheza Derby hiyo.
Kabisa mkuu..TFF na hiyo Bodi pamoja na ile kamati ya waamuzi, kumejaa wahuni tu wenye nia ya kuuharibu kabisa mpira wetu wa muguu.
Tukicheza Tusipocheza..Yaani mseme wenyewe HATUCHEZI, halafu mje mumuombe Mungu mcheze?
Huwa inapatikana ndani ya mahakama.Ukishashondwa kesi ya CAS, kifuatacho ni kuwa mpole maana hakuna atakayekusikiliza tena duniani
Naunga mkono hoja ikiwa na kocha atapanga waamuzi, vinginevyo mtamlaumu Hersi kwani tulishakubaliana HATUCHEZI NG'O halafu yeye anapeleka timu.Yanga tunacheza derby na kuwakanda makolo hilo halina shaka, kocha wetu uto apange kile kikosi kilimnyoa Azam na wacheze namna Ile walicheza na TP Mazembe kufa au kupona