Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great thinker kaka GENTAMYCINE
Jibu kwa facts usitumie umaarufu wako humu. GreatThinker afu unashindia majungu na kujiona, nijibu kwa nilicho kiandika, sio unishindwa kujibu kwa hoja unaleta hisia zako humuAnother FOOL.
Tatizo lipo wapi uoga wako tuAlikuwepo mmoja nilidate nae ila ana watoto nje ya ndoa na alitaka tufunge ndoa kanisani. Nikakata kushoto kama simjui vile
Dada zangu mtanisamehe sana ila niwaambieni tu kuwa ni matendo yenu ndiyo yanatufanya Sisi Wanaume hasa Mimi GENTAMYCINE nizidi ' Kuwapuuza ' hasa kutokana na wengi wenu kuwa na uwezo mdogo wa Kuchanganua mambo, Kufikiri na Kujieleza ili ' Great Thinkers ' tunaowatizana tuone kuwa nanyi ' Vichwani ' mwenu mpo vizuri.
Kupitia Kipindi cha SHILAWADU kinachoendelea hewani sasa huyu Mwanadada Mpenzi wa Msanii wa Maigizo Ray Kigosi aitwae Chuchu Hans ametegwa swali dogo tu kuwa labda ni kwanini hadi hivi sasa haishi pamoja na Ray Kigosi na jibu lake alilotoa ndilo limenifanya nije na kuwaambia Wanawake kuwa bado wana safari ndefu katika kuweza kutumia vyema IQ's zao vinginevyo tutaendelea ' Kuwapuuza ' hadi Kiama kitakapokuja.
Huku akijua kabisa kuwa kwanza ameshatenda ' dhambi ' kubwa ya Kuzaa nje ya Ndoa na Ray Kigosi huku hapo hapo tena akiwa ' amemsaliti ' Mume wake wa Ndoa kabisa aishiye nchini Australia kwa sasa Mwanadada huyu Chuchu Hans alijibu kwamba hawezi kuishi pamoja na Ray Kigosi kwakuwa bado hajafuata Sheria za Dini ili awe nae na pia bado hawajakubaliana katika Dini kwamba ni nani kati yao amfuate mwenzake Kiimani kwani wote wawili ni Dini tofauti Chuchu akiwa ni Muislamu na Ray ni Mkristo.
Nawaombeni kuwaulizeni Members wa JamiiForums ambao nawakubali 100% kuwa wengi wenu ni Great Thinkers tena mliotukuka kabisa hivi hii ' Kauli ' ya ' Kipuuzi ' ya huyu Mwanadada Chuchu Hans alitakiwa aitoe akiwa bado hajazaa na Ray huku wakijua kabisa kuwa ' wanazini ' ili kumtumikia vyema Mwenyezi Mungu au hivi alivyoitoa sasa baada ya Kuzaa na Ray ndiyo yupo sahihi?
Hivi ili uonekane kuwa upo makini na unajua unachokifanya hadi Watu wasiwe na mashaka na uwezo wako wa Kufikiri kwa mfano ukishajua kwamba katika ' Kichaka ' fulani kuna Nyoka wakali mno tena wenye Sumu kubwa unapashwa uchukue tahadhari nao kabla hawajakuuma au unatakiwa ungojee Kwanza wakukong'oli / wakuume kisha udhurike ndipo sasa uwe nao makini pamoja na hicho Kichaka?
Dada zangu mnaniangusha sana hebu jitahidini mno kutumia IQ's zenu vyema ili tusiwadharau.
Nawasilisha.
Wewe ndo IQ yako inashida, kuzaa na mtu sio shida, hata Dini na Mungu mwenyewe hana shida na mtu kutenda dhambi huo ndo ubinadamu wenyewe, shida ni unaendeleaje kuishi baada ya hiyo dhambi. Baadhi ya dini haziruhusu kufungiwa nira na mtu asiye amini, sasa km kaamua kufwata dini yake hilo sio kosa na yupo sahihi, lkn kiimani pia sheria za ndoa unapaswa ukae mbali na mwenza wako kwa Muda gani? Unapaswa kujua undani wa huyo mmewe aliyeko nje labda alisha oa au alisha zaa na wazungu huko! Swala la dhambi kubwa au ndogo huo ni mtazamo wako na imani yako, ila dhambi ni dhambi tu na hakuna dhambi isiyo sameheka hata km angekuwa ameua.
Jibu kwa facts usitumie umaarufu wako humu. GreatThinker afu unashindia majungu na kujiona, nijibu kwa nilicho kiandika, sio unishindwa kujibu kwa hoja unaleta hisia zako humu
Unashindwa kujibu hoja unaleta dhihaka, Nakushauri japo unajiona maarufu humu, km huna stori just cool tu watu watakumisi, kuibua hoja za ajabu ajabu zisizo na mantiki. Unazungumzia dhambi wakati hujui dini hata moja inasemaje kuhusu hayo maudhui yako. Hata km umetumwa kumsema mtu jaribu kuangalia unachokiandika je kina logic!Maelezo marefu lakini ni full of TITO and GIGO.
Umejibu vyema MkuuNaangalia Vipindi vyote Mkuu kikiwemo hiki cha SHILAWADU na wala sioni aibu au ubaya kusema kuwa nakiangalia.
Ilikuja na NGALAWA[emoji2]Hiyo lugha ilikuja na meli best wapi na wapi
Ni shida this na the zinavyokuwaga nyingi sasa[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ilikuja na NGALAWA[emoji2]
Unashindwa kujibu hoja unaleta dhihaka, Nakushauri japo unajiona maarufu humu, km huna stori just cool tu watu watakumisi, kuibua hoja za ajabu ajabu zisizo na mantiki. Unazungumzia dhambi wakati hujui dini hata moja inasemaje kuhusu hayo maudhui yako. Hata km umetumwa kumsema mtu jaribu kuangalia unachokiandika je kina logic!
Itakuwa alikuwa anafanya research ....tehe tehe.GENTAMYCINE NA WEWE UNAANGALIA SHLAWADUU? POLE