Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Unatizama shilawadu afu unaquestion IQ za watu...
 
Wewe ndo IQ yako inashida, kuzaa na mtu sio shida, hata Dini na Mungu mwenyewe hana shida na mtu kutenda dhambi huo ndo ubinadamu wenyewe, shida ni unaendeleaje kuishi baada ya hiyo dhambi. Baadhi ya dini haziruhusu kufungiwa nira na mtu asiye amini, sasa km kaamua kufwata dini yake hilo sio kosa na yupo sahihi, lkn kiimani pia sheria za ndoa unapaswa ukae mbali na mwenza wako kwa Muda gani? Unapaswa kujua undani wa huyo mmewe aliyeko nje labda alisha oa au alisha zaa na wazungu huko! Swala la dhambi kubwa au ndogo huo ni mtazamo wako na imani yako, ila dhambi ni dhambi tu na hakuna dhambi isiyo sameheka hata km angekuwa ameua.
 

Maelezo marefu lakini ni full of TITO and GIGO.
 
Jibu kwa facts usitumie umaarufu wako humu. GreatThinker afu unashindia majungu na kujiona, nijibu kwa nilicho kiandika, sio unishindwa kujibu kwa hoja unaleta hisia zako humu

Facts zangu huwa nazitoa kwa wale tu ambao nahisi ni ' Werevu ' ila nikishajua tu kuwa fulani ni ' Mpumbavu ' wala sipotezi muda wangu nae.
 
Maelezo marefu lakini ni full of TITO and GIGO.
Unashindwa kujibu hoja unaleta dhihaka, Nakushauri japo unajiona maarufu humu, km huna stori just cool tu watu watakumisi, kuibua hoja za ajabu ajabu zisizo na mantiki. Unazungumzia dhambi wakati hujui dini hata moja inasemaje kuhusu hayo maudhui yako. Hata km umetumwa kumsema mtu jaribu kuangalia unachokiandika je kina logic!
 

Still TITO and GIGO. Foolish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…