Kwa jicho la kibiashara Clouds mlishachelewa

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
Namemsikiliza hapa Kusaga anasema ameamua kusaidia vifaa vya kusaidia wauguzi wa Sekta ya Afya kujikinga na janga hili la Corona.

Kwa jicho la kibiashara mie naona wamechelewa ugonjwa ushazoeleka, hii wangeiwahi ikiwa ya moto moto wakasaidia hizo protective gears ikawapa credits huko mbeleni, yaani makampuni makubwa mmelala sana aisee.

Hii ilikua nitoke vipi! Hapa tutammis tu Ruge!
 
Kutoa ni biashara?
Kwamba wameamua kusaidia hivyo vifaa ikiwa muda umeenda...imagine deals zingine za kiserikali hawa lazina wapewe kipaumbele...!..lakini wamechelewa...wangeidaka ikiwa ya moto moto...! Umeelewa au bado?
 


Bora wewe umeelewa...ukitaka uwahi hizo deals zao za serikali lazima uwe active sana uende nsambamba na beats zao angekuwepo Ruge week ya kwanza tu angeshacatchup mapema sana...siku Serikali inahitaji support za media nyie mnakuwa wa kwanza kupendelewa!..wamejisahau kucheza kibiashara hawa!...hawapo active tena!
 
Better late than Never..
 
"wamechelewa ugonjwa ushazoeleka" sijui unamaanisha nini kusema hivyo lakini uhitaji wa vifaa vya kujikinga uko bado mkubwa sn na hata kwa michango yao hawatalimaliza tatizo sasa kuzoeleka unakokusema wewe ni kupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo pale tunapokamilisha ile sentesi

Pengo la ruge halitazibika

Hivi Nani anamkaimu kwa Sasa maaana enzi za ruge kusaga alikaa pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…