Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Namemsikiliza hapa Kusaga anasema ameamua kusaidia vifaa vya kusaidia wauguzi wa Sekta ya Afya kujikinga na janga hili la Corona.
Kwa jicho la kibiashara mie naona wamechelewa ugonjwa ushazoeleka, hii wangeiwahi ikiwa ya moto moto wakasaidia hizo protective gears ikawapa credits huko mbeleni, yaani makampuni makubwa mmelala sana aisee.
Hii ilikua nitoke vipi! Hapa tutammis tu Ruge!