Kwa jicho la pekee hebu tutazame projects mbalimbali za hayati Ruge Mutahaba

Kwa jicho la pekee hebu tutazame projects mbalimbali za hayati Ruge Mutahaba

Mwenzio kapata nafasi ya kutubu dhambi zake na kuongozwa sala ya toba na Mtumishi wa Mungu na kumpokea Mungu, ni dhahiri anakwenda mahali patakatifu kwa mujbu wa maandiko. Wewe unajua kama hiyo nafasi utaipata?? R.I.P boss Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Neema yake nimeshapata wokovu.
 
Ukiwa hai sifa hupati,ila ukifariki sifa zote utapata;inabidi watu wapewe sifa wakiwa hai,itapendeza sana.
 
Saida karoli anajuta kumfahamu ruge nyomi la nguvu malipo kiduchu
 
Ki ukwel jamaa anapata sifa zingine si zake. Alichokua anafanya ruge ni kwekeza katika kuanzisha/ kujuisha idea coz alikua ana uwezo. Mfano ni hiyo bibi bomba, idea kaiskiliza toka kwa mtu, akaita vijana wake wa creative team wakaiweka alivyotaka yeye.

Alichokua anafanya jamaaa ni kukusikiliza, halaf anaenda kuitwist, then anainitiate.

Mi namuita mjanja mjanja.

fanya na wewe tuone

waswahili bana

aliyesema idea zote ni za ruge nani? aliweza kusimamia na ikawa

swala la twist umebugi
 
Rest in peace Ruge, such a bright guy.
 
Back
Top Bottom