Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu asante nimemuuongeza kwenye orodhaInnocent Bashungwa kaachwa kwa makusudi na Je, hao ndio walengwa waliokusudiwa?
Naomba nikutue wasiwasi ,NEC ya CCM ni chombo kikubwa sana na linapokuja suala la nidhamu na maadili la hao mawaziri ambao pia ni wajumbe wa NEC litajadiliwa na hatua kuchukuliwa bila mtu kuangaliwa usoni.
Na pia nafasi walizogombea za U-NEC haziwapi guarantee kwa uwaziri na wala hazitegemeani.