Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana
www.bbc.com
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana
"Mapapa 39 wa kwanza waliofunga ndoa"; Lini na kwa nini useja ukalazimishiwa mapapa? - BBC News Swahili
Makadinali kutoka sehemu mbalimbali za dunia walikusanyika mjini Vatican kumchagua Papa Leo XIV, kiongozi mpya wa Wakatoliki bilioni 1.4 duniani.