Jamaa kaanza kujipenda uzeeni.
Naunga mkono hojaJamaa kaanza kujipenda uzeeni.
Jamaa kaanza kujipenda uzeeni.
Walikuwa hawana hata uhakika wa mlo ,sasa huyu Ramirez mshahara wake Chelsea ulikuwa mkubwa tu,ila kaja kunawiri baada ya kustaafuNi kama ya Mpoki na mwenzie Joti,wakiwa wadogo walionekana wazee
View attachment 3280739
Wakiwa wazee wanaonekana vijana View attachment 3280740
Ametumia na lotion (kipako) au ni kunawiri tu?
Bado ngolo kanteRamires kajua matumizi ya fedha.