Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Ronaldo akapiga la pili refa kaweka offside.....DAKIKA ZA MAJERUHI ZILIKUWA NYINGIMessi amesawazisha dakika za Majeruhi.
Gogoki Sasa Hana maneno.alimpinga bwana yule,tusubiri kidogo gogoki atarudi Kama hakubariani na serikali ya SSH.
Mkuu kwani wewe umeandika kuhusu hayo mabilioni moderators wakaufuta uzi? Vp unampangia mtu cha kuandika hapa?Wewe unafuata mkumbo tu.mabilioni yamechotwa badala ya kuhoji unaleta habari za Musiba,sijui akina Nchimbi na wengineo.Kwa taarifa yako Nchimbi yupo Brazil kama Balozi wetu.Kule kuna lockdown ya corona hivyo yupo huko.Jamani muandike vitu vinavyoeleweka.Mjadala wa VP ushafungwa.Tunachoomba ili kuwadhibiti hao wanaojiita Vigogo ni Serikali ya Sasa kuachia uhuru wa vyombo vya habari,kuwaruhusu wapinzani kunadi sera zao bila bugudha,Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi,kuwe na demokrasia ya kweli,kukubali kukoselewa(constructive criticism)n.k
Doooh unazipataje hizo? Maana mimi kila nikicheck page yake naona tweets tu chache.
Kuna vitool vingi...Doooh unazipataje hizo? Maana mimi kila nikicheck page yake naona tweets tu chache.
Mama Samia hatakiwi kuamini mtu.Labda informer wake ameondolewa maana nasikia wanafanya usafi nyumba nyeupe
View attachment 1739057
Mtu mmoja hawezi kufikia limit ya tweet....
Kwa saa unatakiwa upost tweets 100 ambapo mara 24 ndio zinakuwa 2400
Ili upost tweet 100 kwa saa inabidi utumie wastani wa dk 0.6 kuandika.
Sasa imagine ndani ya saa moja ana andika ana retweet ana interact na services zingine za twitter, hii picha nyingine inaonesha aliandika tweets 20 ndani ya saa(tweet moja kila baada ya dk 3) this is impossiple per person
View attachment 1739060
Kuna kitabu kinaitwa the Price cha Machiavelli ndani yake kinaelezea kwa nini Kiongozi anapaswa kuwa katili hata kuua ikibidi hiki kitabu ni Papa ndio aliruhusu kichapishwe kwa umma
Ila nna uhakika anakukera...Hapana sina resources, hayo ni maisha ya watu
Huwezi ukapigana na wanafiki
Kakikundi kamepigwa kweli kweli.Kakikundi chenye maslahi binafsi.
Sikuwahi kuona Kosa la Magufuli hasa kwenye kuiletea nchi maendeleoIla nna uhakika anakukera...
Mpaka ukaamua kumchambua hivyo.
wewe ni kiongozi?Kuna kitabu kinaitwa the Price cha Machiavelli ndani yake kinaelezea kwa nini Kiongozi anapaswa kuwa katili hata kuua ikibidi hiki kitabu ni Papa ndio aliruhusu kichapishwe kwa umma
Mkuu hii nchi sijui inashida gani swala la uzalendo ni dogo sana..Sikuwahi kuona Kosa la Magufuli hasa kwenye kuiletea nchi maendeleo
Imagine nchi ilikuwa inachimba dhahabu inapeleka nje ichenjuliwe, wakati inaweza kuchenjuliwa hapa hapa bongo, na mtu haoni uzuri wa hili jambo...
Imagine mtu ameanzisha mradi wa umeme mkubwa sana, ila hataki anataka tuuziwe umeme wa gesi ambao haututoshi kwa gharama kubwa kabisa