Kwa jinsi 'Bwana fulani' alivyonuna Nchimbi kukosa Umakamu wa Rais, yawezekana madai ya Musiba yalikuwa na msingi

Kwa jinsi 'Bwana fulani' alivyonuna Nchimbi kukosa Umakamu wa Rais, yawezekana madai ya Musiba yalikuwa na msingi

Absolutely, anaweza kuwa sehemu ya timu. Wanasema hata twitter walipo suspended account hii tulipokua tunakaribia uchaguzi 2020, Maria alimuandikia Jack Dorsey kuomba .....
 
Mk
Wewe unafuata mkumbo tu.mabilioni yamechotwa badala ya kuhoji unaleta habari za Musiba,sijui akina Nchimbi na wengineo.Kwa taarifa yako Nchimbi yupo Brazil kama Balozi wetu.Kule kuna lockdown ya corona hivyo yupo huko.Jamani muandike vitu vinavyoeleweka.Mjadala wa VP ushafungwa.Tunachoomba ili kuwadhibiti hao wanaojiita Vigogo ni Serikali ya Sasa kuachia uhuru wa vyombo vya habari,kuwaruhusu wapinzani kunadi sera zao bila bugudha,Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi,kuwe na demokrasia ya kweli,kukubali kukoselewa(constructive criticism)n.k
Mkuu kwani wewe umeandika kuhusu hayo mabilioni moderators wakaufuta uzi? Vp unampangia mtu cha kuandika hapa?
 
View attachment 1739057
Mtu mmoja hawezi kufikia limit ya tweet....

Kwa saa unatakiwa upost tweets 100 ambapo mara 24 ndio zinakuwa 2400

Ili upost tweet 100 kwa saa inabidi utumie wastani wa dk 0.6 kuandika.

Sasa imagine ndani ya saa moja ana andika ana retweet ana interact na services zingine za twitter, hii picha nyingine inaonesha aliandika tweets 20 ndani ya saa(tweet moja kila baada ya dk 3) this is impossiple per person

View attachment 1739060

naona team ya unaa mmeingia kazini[emoji38][emoji38][emoji38].

kule fb kuna mwanamama anaitwa veronica[emoji1787][emoji1787][emoji1787],kachafua hali ya hewa sio poa.
naona kaamua kuwa kamanda wa kike wa bi samia.

nikisoma hizi data zako na yale matamshi ya bi veronica,ndipo nakubali kabisa hawa vigogo2014,ni team msoga waliokosa ramani.
 
Kakikundi chenye maslahi binafsi.
Kakikundi kamepigwa kweli kweli.
IMG_20210330_230014.jpg
 
Ila nna uhakika anakukera...
Mpaka ukaamua kumchambua hivyo.
Sikuwahi kuona Kosa la Magufuli hasa kwenye kuiletea nchi maendeleo

Imagine nchi ilikuwa inachimba dhahabu inapeleka nje ichenjuliwe, wakati inaweza kuchenjuliwa hapa hapa bongo, na mtu haoni uzuri wa hili jambo...

Imagine mtu ameanzisha mradi wa umeme mkubwa sana, ila hataki anataka tuuziwe umeme wa gesi ambao haututoshi kwa gharama kubwa kabisa
 
Mkuu hii nchi sijui inashida gani swala la uzalendo ni dogo sana..
Hivi huyo dada fb anajiita veronica nani
 
Back
Top Bottom