Huyuhuyu mliyemuita gaidi? Yaani kila anayenunulika anageuka kuwa mzuri.Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara
Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo
Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wajinga na werevu watajulikana
Iliwasababisha kupoteza wabunge wote na fans wao kuwakatia tamaa, morari umerudi baada ya uongozi mpya kupatikana.Hyo busara iliisaidia nini CHADEMA?
Kilichokuwa kinampeleka Ikulu nikutokutaka shari lakini hakununulikaHuyuhuyu mliyemuita gaidi? Yaani kila anayenunulika anageuka kuwa mzuri.
Kwa misimamo ya dhati ninayowaona nayo watu wa CHADEMA wana imani na uongozi wao wa sasa kuliko uongozi wa kipindi cha Mbowe, kugoma kununulika ndiyo kumewafanya wanachama wao, wafuasi wa kawaida, sympathisers na wapigania haki wasio na ushabiki wa chama chochote cha siasa kuweka imani juu ya uongozi uliopo.
Funny fact watu wanaousema vibaya uongozi uliopo ni wakereketwa na wanachama wa CCM, ukiona adui yako anachukia mipango na harakati zako hiyo ni ishara kuwa you're on the right track hivyo ushikilie direction hiyohiyo.
Alinunulika japo kwa kipindi kirefu alikuwa mgumu, CCM bila ya mtu kukubali kuwa compromised lazima ataendelea kufanyiwa mizengwe mpaka a-dance tune yao hao CCM.Kilichokuwa kinampeleka Ikulu nikutokutaka shari lakini hakununulika
Kina nani wanaodai? Niaoongea nao wanafurahia sana hii timu uliyopo, inawapa matumaini kwa kuwa waongozaji ni watu shupavu na wasioyumba kimisimamo pia wamegoma kununulika. Kikubwa zaidi kinachowafanya wakubalike sana ni kutokubali kuwa compromised na kutokuwasaliti wapigania haki.Wanadai hali sasa ni tete sio nzuri
Wachukueni tu MACCM, sisi CHADEMA hatuna shida na MAMLUKIKuepusha CHADEMA kupoteza asset ya watu
Mbowe alisema hakununulika hata kwa Magufuli, alimwambia Magufuli kuwa ana pesa za kutosha wala asimnunueAlinunulika japo kwa kipindi kirefu alikuwa mgumu, CCM bila ya mtu kukubali kuwa compromised lazima ataendelea kufanyiwa mizengwe mpaka a-dance tune yao.
Upo sahihi mkuu ila kwa sasa ndani mme hali ni mbaya sana viongozi hawataki kutoa hii siriChadema nitaasisi imara sana imekuwa na misngi imara sana
Watanganyika wengi wapenda haki nawanaio itakia hii nchi mema lazima watasapoti harakati za chadema
Wamekwama kwa Mwenyekiti hawana dereva kwasasa lakini Mwenyekiti hajulikani atakuwa huru lini na hawataki kuchagua mwingine wakidai Taifa litaona kuwa wanamsaliti LissuKina nani wanaodai? Niaoongea nao wanafurahia sana hii timu uliyopo, inawapa matumaini kwa kuwa waongozaji ni watu shupavu na wasioyumba kimisimamo pia wamegoma kununulika. Kikubwa zaidi kinachowafanya wakubalike sana ni kutokubalika.
Mwenyekiti wa sasa amekwama na hawajui atakuwa huru lini huku Chama kikihitaji MwenyekitiZama zake ziliishapita hawezi kukumbukwa. Chama kiko chini ya mwenyekiti mwingine anayepambana na changamoto za kisiasa ni ama chama kisinyae au kipotee. Ni zama mpya za chama, kinapitia wakati mgumu