kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Sawa umetuhadaa, ila kwa kutumia nguvu za giza, tumegundua na uondoke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa mara nyingi hawapo kwenye akili zao,hawa Waamini wahanga wengi wao ni watu waliokuwa na shida mbali mbali,yaani desperate ones chukulia mmama ambaye hana mtoto na anaona umri unamtupa mkono. Anaenda kwa Mchungaji huyu na anaambiwa Leta Laki Tano shida yako itaisha...!Kwanza ni sawa tu kawanyoosha hivi mtu na akili yako umezaliwa umekuta wazazi wako wanaabudu imani flan au dhehebu flan leo hii umekuwa unatafuta madhehebu yako tena unaambiwa lipia na unalipia wakati ulipokuwa mdogo hujawahi sikia lipia ili uombewe. Wacha wanyoonywe mpaka watie akili kichwani. Tena jamaa angewapururua vya kutosha. Mtu toka asubuhi unashinda unalia tu hutafuti pesa upo kwa nabii feki hata mme wako humkumbuki sasa huo si wehu.Jamaa sawa sawa kawanyuka na utashangaa ataibuka mwingine na bado watapigwa tena
Sasa akili zitakaa sawa fikiria serikali imemfukuza lakini bado wanamlilia arudi ni ukichaa huu. Fungua vitabu vya dini kwa imani zote kuna mistari ya nguvu imewekwa . Dini zote kuna kufunga na kumuomba Mungu, Dini zote zina kutoa sadaka , Dini zote zinaamini kusaidia yatima sasa leo mtu anakuambia nipe pesa nikusaidie kweli mbona hospitali tunalalamika kwa nini hawa matapeli tunakubali? Mbaya zaidi ni wamama tuu ndiyo kinawakuta. Mimi mtanisamehe ila acha wapigwe akili irudi. Usishangae kesho utasikia wengine nao wamepigwa.Huwa mara nyingi hawapo kwenye akili zao,hawa Waamini wahanga wengi wao ni watu waliokuwa na shida mbali mbali,yaani desperate ones chukulia mmama ambaye hana mtoto na anaona umri unamtupa mkono. Anaenda kwa Mchungaji huyu na anaambiwa Leta Laki Tano shida yako itaisha...!
Sasa kwa yule mwenye shida hasa atajiuliza Laki tano kitu gani? Iwapo shida itaisha,Ni wazi atatoa tu..!
Chonde waathirika tuwahurumie Zaidi kuliko kuwashutumu.!
Yes serikali ina mambo mengi haina uwezo wa kumfuata kila raia na kumfundisha kuwa asiende kusali kwenye kanisa fulani😂 kwahiyo kwa utovu wenu nyie mnaomba msaada kama alisajiri na akafata vigezo vyote kwanini asipewe vibali..?
mmeliwa mmeliwa tu kila siku tunapigana kelele humu jukwaani ni uhuni tu hamsikiii tulieni dawa iwaingie na najua hapo bado mpk damu imwagike sana ndo mtaelewa.