mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim.
Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao umesahaulika kwa kiasi katika baadhi ya maeneo mfano Kibiriz, Gungu, Katandala, Burega na maeneo mengine mengi Ila kero kubwa inayo sumbua sana sasa hivi Kigoma ni ya usafiri wa maji. Namaanisha meli now haifanyi kazi kitu ambacho kinapelekea wananchi kutumia boti za mbao ambazo ni hatari sababu zikipigwa na wimbi kali husababisha ajali.
Kama ulisikia ni juzi tu wamekufa watu zaidi ya 16 kwenye ajali ya boti.
Rais Magufuli, hamna mkoa uliokupokea mpaka sasa kama Kigoma, umekuja kutuomba kura ndio tutakupa ila please fanya na sisi tunachokuomba.
Tuboreshee bandari ya Kibiriz ili wafanyabiashara wa Tanzania waweze kupeleka bidhaa zao Congo na Burundi kwa urais na haraka.