Uchaguzi 2020 Kwa jinsi Kigoma tulivyo kupokea Magufuli, inabidi kwenye maendeleo usitusahau baada ya kuapishwa

Uchaguzi 2020 Kwa jinsi Kigoma tulivyo kupokea Magufuli, inabidi kwenye maendeleo usitusahau baada ya kuapishwa

Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim.

Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao umesahaulika kwa kiasi katika baadhi ya maeneo mfano Kibiriz, Gungu, Katandala, Burega na maeneo mengine mengi Ila kero kubwa inayo sumbua sana sasa hivi Kigoma ni ya usafiri wa maji. Namaanisha meli now haifanyi kazi kitu ambacho kinapelekea wananchi kutumia boti za mbao ambazo ni hatari sababu zikipigwa na wimbi kali husababisha ajali.

Kama ulisikia ni juzi tu wamekufa watu zaidi ya 16 kwenye ajali ya boti.

Rais Magufuli, hamna mkoa uliokupokea mpaka sasa kama Kigoma, umekuja kutuomba kura ndio tutakupa ila please fanya na sisi tunachokuomba.

Tuboreshee bandari ya Kibiriz ili wafanyabiashara wa Tanzania waweze kupeleka bidhaa zao Congo na Burundi kwa urais na haraka.
Da ! Mkuu mzalendo, kweli wewe ni mzalendo ! Kwa bandiko lako hili mujarab nina amini Rais ameliona na pia katika ilani ya CCM 2020-2025 kuna mengi sana kuhusu kuweka miundo mbinu ya mkoa wa kigoma. Tumchague Rais Magufuli na wabunge na madiwani wa CCM hakika utayaona atakayofanya kwa mkoa huo ! Maana kayasema hadharani na bayana. Mwanza aliwaambia atajenga daraja busisi juu ya maji kilometa 3.2 walidhani ni ahadi tuu za wanasiasa ! Ona sasa linajengwa ! Huyu ni mkweli!
 
Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim.

Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao umesahaulika kwa kiasi katika baadhi ya maeneo mfano Kibiriz, Gungu, Katandala, Burega na maeneo mengine mengi Ila kero kubwa inayo sumbua sana sasa hivi Kigoma ni ya usafiri wa maji. Namaanisha meli now haifanyi kazi kitu ambacho kinapelekea wananchi kutumia boti za mbao ambazo ni hatari sababu zikipigwa na wimbi kali husababisha ajali.

Kama ulisikia ni juzi tu wamekufa watu zaidi ya 16 kwenye ajali ya boti.

Rais Magufuli, hamna mkoa uliokupokea mpaka sasa kama Kigoma, umekuja kutuomba kura ndio tutakupa ila please fanya na sisi tunachokuomba.

Tuboreshee bandari ya Kibiriz ili wafanyabiashara wa Tanzania waweze kupeleka bidhaa zao Congo na Burundi kwa urais na haraka.
Maendeleo siyo hisani ya watawala, ni wajibu kuhakikisha maendeleo bila kuangalia mitizamo ya kisiasa.

Kiongozi wa aina hiyo ni kiongozi mfu
 
Halafu hata siku mbili hazijapita Lissu naye katua kigoma,nyomi la kufa mtu!Watanzania sio wamchezomchezo!
 
UMEELEWEKA MKUU WELL SAID 100% TRUE [emoji1241]

Endeleni na ndoto zenu za alininacha kwa ccm mtaendelea kubaki nyuma mpaka mwisho wa dunia...kwa miaka yote ccm wamewafanyia nini...hakuna Barabara, hakuna maji, hakuna shule , hakuna viwanda,hakuna meli wala bandari inayoeleleweka...ni shida kigoma tupuuu..yaani ji ni mkoa mzima
 
Watu wapo miaka zaidi ya hamsini wameshindwa kubadilisha hata rangi ya bati la nyumba ya kigoma Leo hii mkimpa mi5 ndio atabadilisha kipi na nini?

Ifike pahala Africa tubadilike, soon CCM itakuwa kama KANU ya Kenya kupotea kusikojulikana.....

Kama kauli tu za ndani ya chama viongozi wananungunika sipati picha kinachoendelea ndani ya chama
 
Miaka mitano iliopita alituaahidi barabaea, meli, umeme vijijini kwa miaka mitano ametekeleza 0%
Bado yupo chato na sukuma land
LO SIMBA ZEE 33 HUMUOGOPI HATA MUNGU WAKO KWA KUSEMA UONGO! HIVI NI KWELI JPJM AMETEKELEZA 0%!!! UNAMDANGANYA NANI?? HATUDANGANYIKI!
 
Ukisikia watu wapumbavu na wote wanaomsikiliza magufuli
Mwingine akisema watu wasiomsikiliza Magufuli ndio wapumbavu itakuaje

Demokrasia ni pamoja na kuheshimu maamuzi ya mtu mwingine... kila mtu ana uhuru wa kuamnini chama anachoona ni bora kwake.
 
Back
Top Bottom