DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao,
Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani.
Katika Dunia ya leo kama ghorofani kuna shida sahau kuhusu Mafanikio yaani uzuri au mwonekano wa Mtu uwe mrefu mnene mwembamba bila kuwa vizuri ghorofani huwezi kufika popote.
Hili Jambo nimejionea kwa ndugu zangu wa kike na kiume waliodanganywa na uzuri wa nje wakasahu kuboresha ghorofani (upstairs) leo wapo broke so tuendelee kujifunza hekima hairithishwi.
UZURI wa nje ni mzuri Ila wa ndani ni bora zaidi.